isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,125
- 6,252
Anachoeleza Nafaka ni kweli, Spotify ni 0.3 hadi 0.6 na hii imeanza last year before ilikuwa 0.2 hadi 0.4 wasanii wengi wanamlaumu Daniel Ek kwa kutotoa loyalties za kutosha.Ntarudi kufuta nlichokiandika nkipata ukweli wa hili, ila itakuwa haina maana ya kuweka kazi huko kwa malipo ya aina hii. N bora kupiga shoo za kiingilio bia kila wiki
Kuhusu mapato naona ni bora kuliko hamna imagine Diamond Platnumz 5 months bila nyimbo mpya lakini anapokea 10M na hii ni kwa kuwa Tanzania na EA sio watumiaji wa streaming platforms, endapo wangelikuwa watumiaji kama ilivyo kwa YouTube wanamuziki wengi wangelikuwa na ukwasi.