Licha ya ukimya wake kwa mda mrefu, Rayvanny azidi kumburuza Harmonize

Ntarudi kufuta nlichokiandika nkipata ukweli wa hili, ila itakuwa haina maana ya kuweka kazi huko kwa malipo ya aina hii. N bora kupiga shoo za kiingilio bia kila wiki
Anachoeleza Nafaka ni kweli, Spotify ni 0.3 hadi 0.6 na hii imeanza last year before ilikuwa 0.2 hadi 0.4 wasanii wengi wanamlaumu Daniel Ek kwa kutotoa loyalties za kutosha.

Kuhusu mapato naona ni bora kuliko hamna imagine Diamond Platnumz 5 months bila nyimbo mpya lakini anapokea 10M na hii ni kwa kuwa Tanzania na EA sio watumiaji wa streaming platforms, endapo wangelikuwa watumiaji kama ilivyo kwa YouTube wanamuziki wengi wangelikuwa na ukwasi.
 
Hapana hizo ni streams za mwezi mmoja, sasa ukijumlisha youtube, spotify, itunes, amazon na kote unakuta amevuta zaodi ya mils ishirini au 30, na bado hajapiga show na bado ataendelea vuta ndo uzuri wa hizi platform
Ukiangalia Diamond Platnumz kwa YouTube each month hakosi 20M bila kutoa nyimbo ikiwa ametoa anafika 100M.
 
Ukiangalia Diamond Platnumz kwa YouTube each month hakosi 20M bila kutoa nyimbo ikiwa ametoa anafika 100M.
Yes ndiyo uzuri wa hizi platform, na inaendelea tu kuingiza. Bongo watu walau YT wanafuatilia, ila taratibu naona wanahamia spotify.
Hivyo the future is bright.
 
Anachoeleza Nafaka ni kweli, Spotify ni 0.3 hadi 0.6 na hii imeanza last year before ilikuwa 0.2 hadi 0.4 wasanii wengi wanamlaumu Daniel Ek kwa kutotoa loyalties za kutosha.

Kuhusu mapato naona ni bora kuliko hamna imagine Diamond Platnumz 5 months bila nyimbo mpya lakini anapokea 10M na hii ni kwa kuwa Tanzania na EA sio watumiaji wa streaming platforms, endapo wangelikuwa watumiaji kama ilivyo kwa YouTube wanamuziki wengi wangelikuwa na ukwasi.
Yeye kasema 0.003 ni tofauti na 0.3 tofauti sana tena yan
 
Yeye kasema 0.003 ni tofauti na 0.3 tofauti sana tena yan
Nakupa mfano tu mmoja kutokana na maelezo ya diamond mwenyewe ambayo ni haya hapa.
2749009_IMG_20210421_183554.jpg

Ukichukua 89,869,867/39,358,770 utapata tshs 2.3 per view ukiibadili kwenye $ utapata 0.001 hivi. Hivyo alipata 0.001 per view kwa YT.
Bahati ni kwamba wasanii wanapata views nyingi YT kuliko huko kwingine.
Spotify narudia inalipa kati ya 0.003-0.006 per stream.
 
Takwimu zimekaa vizuri.

Hapo namhurumia Alikiba tu.

Vile vile Rayvanny mnamvimbisha kichwa na yeye anajaa upepo. Mwisho wa siku atakuja kujikuta peke yake.

Kwenye mgao wa mapato ya Rayvanny kuna Diamond.

Lakini Harmonize anachuma chake kwa asilimia mia, ana freedom, mashabiki wake na kampuni yake.

Hapo kadri anavyoendelea kujijenga possibly akapanda.

Vile vile uwekezaji wake kwa wasanii wake kote atakuwa anachuma mgao kama Diamond anavyo chuma kwa wasanii wake.

Rayvanny aache u-kichwa maji hali bado ni tete.
 
Hali bado ni tete kiaje ? Unafkr harmonize anapata yeye tuu mkwanja wote , nenda kaulize makubaliano yake na jembe ni jembe ndo urudi hapa , unajua management ya harmonize inakula percent ngap Mzee ?

Japo uwekezaji mkubwa wa konde gang ni wa jembe ni jembe lakn bado ukweli upo pale pale Harmonize alitoka WCB yupo well financially na hii haiondoi ukweli hata Kwa Rayvanny yupo well financed , tuache bla bla .....
Kama vile ambavyo Harmonize alitoka WCB akawachagua akina jembe kuwa managers wake vile vile Rayvanny hayupo full under WCB Ila amewachagua akina Diamond wabaki kuwa managers wake , .....( Na hili hata H-baba aliligusia)

Kitu kizur ni kuwa Rayvanny ameanza kujijenga na label yake akiwa Hana mzigo mzito , harmonize amejijenga ndiyo ana wasanii Sawa lakini mpak sa hv ana mzigo wa kucompasate pesa ya uwekezaji mzito wa jembe ni jembe kuisimamisha konde gang.... Na ukweli ni kuwa managers wake wanakula parefu tuuu...

Harmonize na Rayvanny ni vijana wa Diamond na hii itabaki kuwa sifa ya milele !!! Haitafutika
 
Point yako ni nini ?

Umechanganya sana mambo.
 
Ninachokiona kwa haraka haraka ni kuwa kwenye hizi list 50%- 62.5% ya wasanii top 8/9 ni wakutoka Wasafi, wasanii wanne mpaka watano. Konde, King's Music wanamwakilishi mmoja mmoja na ni wao wenyewe wakuu wa label. Pia kuna kina Nandy na Marioo ambao nahisi wanajitegemea hawajabebwa na label (kama siko sahihi nirekebisheni tafadhali).

Hii ina maana gani? Binafsi naona hivi:

1; Wasafi wanapambana haswa. Inakuwa kama kila mwenye project anafanya vizuri. Watakuwa wanajitahidi sana kwenye promo. Kama ni kweli wao wanategemea redio na televisheni zao zaidi na kutokupata airtime au kupata airtime kwenye media zingine basi wanashindana haswa na so far wanashinda kwa sana.

2: Ushindani wa hizi label 3, (Wasafi, King's, Konde) kumewafanya wasanii wao kwa ujumla kushika 70% ya top ten na kwa ujumla wote hawa wanapiga hela, si haba. Sijui BASATA wana wasanii wangapi kwenye orodha yao ila ni wazi kuwa haya makundi matatu yanaenda kasi sana na kuwaacha wengine nyuma. Wote waheshimiwe. Hata humu watu wanavyojibiza 'team WCB' vs 'team KG' mpaka kutukanana na kukosa ustaarabu kwa kujaribu kuwafanya wasanii wao ndo waonekane wanafanya kazi za maana na wa wenzao hawafanyi lolote ni kujifurahisha ki'team' tu lakini ukweli ni wote wako vizuri na huenda wanapishana kidogo.

3: Wasanii wanaotoka nje ya haya makundi matatu waheshiwe (Nandy, Marioo..) . Rayvanny akicheza vyema NLM nayo itakuwa huko juu. Hii itakuwa kudos kwa Wasafi maana watakuwa kaka na mdogo wote wako juu.

4: 'Distribution of power' haijakaa vizuri kwa sanaa ya bongo kwa ujumla. Kwa maana hii wengine nao wanatakiwa kujiboresha ili kufaidi wanayofaidi hao. Ningependa sana kuona wasanii wote (au wengi sana) wakiwa juu kimauzo na kuwa na maisha bora kutokana na kazi zao. Sifurahishwi saanaaa kuona mtu anashindanisha mtu aliyepata 10m na mwingine aliyepata 8m. Kwangu mimi wote wamepata, ila kuna ambaye hata 50k hajaweza kupata. Je game halina nafasi kwa wote kunufaika?
 
Back
Top Bottom