Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,489
- 34,793
Katika Hali isiyotarajiwa na wengi, C.E.O wa Next Level Music Rayvanny aka vannyboy mtu mbaya amezid kumvuruta mmiliki wa label ya Konde gang Harmonize Mzee wa picha za utupu
Rekodi mbali mbali zinaonyesha jinsi Rayvanny anavyomburuza konde boy kuanzia kwenye mziki mpak kumiliki watoto wa zuri licha kelele za konde boy kwenye mitandao ya kijamii.
Tupo kwenye maombi mazito kumuombea Mzee wa kukusanya wasanii na kupiga nao picha ili aondokane na aibu hii...