LICENSE TO KILL: Maslahi mapana ya taifa yanapozingatiwa!

Hija kwamba ndio maana kazi za usalama hazitangazwi ni hoja ya kijinga tu na iko Tanzania pekee huo ujinga.

Hii imewapa nafasi watu kupachika watoto wao na ndugu zao kwa kigezo eti kazi hazitakiwi kutangazwa.

Hii pia imepelekea ccm kujaza wapambe wao usalama kwa sababu za kijinga kama hizo.

Duniani kote kazi hizo hutangazwa kama kazi nyingine lakini waajiriwa hawatangazwi kujua yupi ni yupi.
 
Sasa Tundu Antipas Lissu
Kafanyaje? Kitengo huwa hakifanyi makosa ya kijinga kama yale...
Kitengo huwa hakiachi foof prints
Kitengo huwa hakipangi mipango yake bar
Kitengo huwa hakipotezi ushahidi kindezi vile
 
Kafanyaje? Kitengo huwa hakifanyi makosa ya kijinga kama yale...
Kitengo huwa hakiachi foof prints
Kitengo huwa hakipangi mipango yake bar
Kitengo huwa hakipotezi ushahidi kindezi vile

Mshana Jr Binadamu ni mtu wa Makosa sana, Usimpe Imani hiyo Binadamu, pia ukumbuke anapopanga lake Mungu hupanga pia
 
Misheni ilipangwa kwa akili sana najiuliza y kabla hajaenda zake walitangulia vigogo wengi sana kwenda zao? Je ilikuwa kutengeneza mazingira ya justification ya kuangusha mbuyu mkubwa? Na baada ya kwenda zake vifo vya vigogo vikakoma mara.
 
Tunaweza kuwa Taifa tajiri Kama watu usalama wakijikita kwenye Mambo ya msingi yanainua Taifa na tutabaki hivi hivi masikini na omba omba sababu ya kuendekeza siasa kwenye maslahi ya mapana ya Taifa
Good point, thank you for this..!
 
Mshana Jr Binadamu ni mtu wa Makosa sana, Usimpe Imani hiyo Binadamu, pia ukumbuke anapopanga lake Mungu hupanga pia
Achana nae.anaishi kwenye nadharia, eti kitengo hawafanyi makosa, hawa TISS naowafahamu ama wengine? Hata CIA hua wanafanya makosa halafu ndio ije kua TISS hawa wa UVCC? Aisee!
 
Kafanyaje? Kitengo huwa hakifanyi makosa ya kijinga kama yale...
Kitengo huwa hakiachi foof prints
Kitengo huwa hakipangi mipango yake bar
Kitengo huwa hakipotezi ushahidi kindezi vile
Sasa unadhani nani alimufanyia na wakati walikuwa wanamfuatilia kwa mda na bado TL alukuwa akilipoti kuwa anafuatiliwa
 
Mshana Jr Binadamu ni mtu wa Makosa sana, Usimpe Imani hiyo Binadamu, pia ukumbuke anapopanga lake Mungu hupanga pia
Not for the professionals ndugu yangu, yale makosa yalikuwa ya kindezi mno... Achana na yote zile risasi 37 halafu bado una miss target... That was amateur ambush that left an enormous number of traces
 
Sasa unadhani nani alimufanyia na wakati walikuwa wanamfuatilia kwa mda na bado TL alukuwa akilipoti kuwa anafuatiliwa
Kulitengenezwa kitengo mbadala ambacho si cha taifa bali cha chama
 
Kulitengenezwa kitengo mbadala ambacho si cha taifa bali cha chama
HIVI NI KWELI MWENDA ZAKE ALIKUWA NALINDWA NA MAJESHI YA NJE YQNAYOTUMIA UNIFORM ZA NJE KAMA MBOWE ALIVYODAI KWENYE PRESS RELEASE?JE INAWEKANA KATOKA NCHI KAMA YETU KUFANYIKA KITU KAMA HICHO TENA KWA UWAZI AU NI UWONGO WA KISIASA?
 
Back
Top Bottom