Liana Mbaga afariki dunia-ni Mtoto wa mwenye Namnani Hotel Sinza.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Liana Mbaga amefariki dunia usiku wa kuamkia jana 05.09.12 msiba wake upo nyumbani kwao Sinza jirani na Meeda Bar, mwili wake utaagwa leo Ijumaa 07.09.12. saa 7 mchana. Liana alikuwa anamsaidia Baba yake Mzee Namnani kuendesha Hotel zao.
 
Tayari mwili wake umeshasafirishwa kwenda Mbaga Same kwa ajili ya Mazishi kesho Jumamosi .08.09.12
 
Back
Top Bottom