LHRC watoe tamko dhidi ya mauaji ya polisi wetu !

LHRC watoe tamko dhidi ya mauaji ya polisi wetu !

angalia kwenye red. boko haram nigeria ilianza baada ya kiongozi wao kuuawa mbele za watu, hapo ndio wale waliokuwa wanawasapoti ndio waliungana zaidi, na ndipo likatokea lile kundi. kabla ya hapo walikuwa wanaharakati tu. hapa tz ni watu wachache sana wapumbav misikitini huko wanawaona hao wauaji kama mashujaa, majority ya watz ni waoga wa haya mambo ya ajabu. tunatakiwa kuendeleza msimamo huu ili kila mtz awe mzalendo achukie kitendo chochote kinachoharibu image na usalama wetu. hatuwezi kufanya hivyo kama hatupo wamoja, kama tumegawanywa namna hii na bashite na baba yake.
Kumbuka kuwa kuzuia uhalifu ni jukumu mojawapo na muhimu la dola....kwa hiyo it can be done with or without you....huhitaji mnafiki akusaidie vitani.
 
Hawana kawaida hiyo lkn tusubiri tuone.Wanadai haki za binadamu hazibagui ziko sawa kwa kila mtu lkn inawezekana wao wanaamini haki za binadamu si haki za polisi pia.
 
Soma hii hapa chini kutoka FB kisha jiulize kwa nini hili nalo hujauliza?

********
..nimesikiliza radio five ya arusha wakijadili tukio la kijana wa umri wa miaka 15 ameuwawa na askari wa SUMA JKT huko mkoani arush kwa kupigwa risasi nne.
ina daiwa huyu kijana alikuwa anaswaga ng'ombe wake watatu gafla akaona gari la hao wanajeshi akaanza kukimbia ndipo walipompiga risasi na kupoteza uhai pale pale.

#my take:
hata kama alikuwa anchunga ng'ombe kwenye hifadhi ya taifa je ni halali kumpiga risasi kijana mdogo kama huyo?
kulikuwa kuna haja gani ya kumpiga risasi nne mtoto mdogo kama huyo na huku wanajua fika kamwe kuna sheria za kufuatwa?
askari wetu wanekuwa na tabia y kujichukulia sheria mikononi.
nalaani huu upuuzi ulifanyika na hao askari wa suma jkt
Hapo uchunguzi ufanyike tu pande zote zisikilizwe hilo tukio litokea huko mt Meru hao wananchi walivamia hifadhini na wakati wanaondolewa Waka wanawashambulia hao ASKARI na walikua watu wengi dhidi ya Askari wachache na walifyatua hizo risasi kujihami na kuokoa maisha yao.Wewe una bunduki na unaona maisha yako yapo hatarini ungefanya nini?
 
Kuua ni kuua tu haijalishi unajihami au unajitetea......unafiki wa watawala utagharimu maisha ya wengi....ukumbuke raia wema huwa hawana silaha ila ukipandikiza chuki kwa utekaji na uuaji na upoteaji wa akina Ben Saanane itagharimu wengi ni swala la muda tu.
 
Ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Sheria I huku mkondo wake. Polish wawakamate na kuwafikisha mahakamani. Lkn la kufumbia macho pale serikali inapotendeka kinyume na kiapo chake, lazima walaani.
Hawalaani raia wanaofuga wahalifu na kuharibu miundombinu ya umma?
.
 
Hawawezi kwasababu LHRC ni fith columnists

Wapo kwa ajili ya color revolutions tu.
 
Askari wako wewe na nani? Askari wasiopenda wananchi wanaofanya tu kazi ya ccm kwa kodi zetu ni dhambi na wanavuna walichopanda. Hatufurahii wauawe ila liwe somo kwa taifa hili hasa serikali na polisi.
 
Jingalao haraka ya nini? Una hakika gani kama hawatatoa tamko? By the way huwalipi usiwapangie cha kufanya; wanapanga wenyewe.
 
Misingi ya kuanzishwa ni kutetea wasio na mamlaka na kuangalia mamlaka kama hazivunji haki za msingi za Raia wake.Hata wananchi wanapokuwa ndio wamekosa,mfano mikusanyiko na maandamano yasiyo na vibali basi wao wataangalia je,vyombo husika vitatumia nguvu kiasi gani kudeal na watu hao!
Kiufupi LHRC siku zote huangalia matendo ya wenye mamlaka dhidi ya wananchi!
kwa maana hiyo polisi sio raia?
 
Kituo hiki cha wanaharakati wa haki za binadamu kimekuwa active sana pale wanapoona polisi 'wakinyanyasa' raia au kuua majambazi on the spot...
Kituo hiki kilipinga sana kauli ya Rais ya kuwataka polisi kuwashughulikia majambazi on the spot ....

Leo hii tumeshuhudia askari wetu wakiuawa wakati wanatekeleza majukumu yao...wameuawa na wasiojali haki za binadamu.

Natoa wito kwa LHRC watoe tamko au wakae kimya milele.
Tamko ni kwamba nchi iko salama sana .
Kila RAIA ajilinde kivyake kama huyu RAIA alovyojilinda na haya majambazi yanayojiita mapolisi.

Kila RAIA awe na zana mshale upinde, mkuki, sime, rungu, fimbo, sindano, mwiko, kisu ,chupa, bastola, bunduki ya aina yoyote, kifaru, yaani kila kitu kinachowezekana kujilinda.

Serikali si salama tena kwa wananchi wake.
Hii ni vita sasa.
Utawala against wananchi.
 
Tamko ni kwamba nchi iko salama sana .
Kila RAIA ajilinde kivyake kama huyu RAIA alovyojilinda na haya majambazi yanayojiita mapolisi.

Kila RAIA awe na zana mshale upinde, mkuki, sime, rungu, fimbo, sindano, mwiko, kisu ,chupa, bastola, bunduki ya aina yoyote, kifaru, yaani kila kitu kinachowezekana kujilinda.

Serikali si salama tena kwa wananchi wake.
Hii ni vita sasa.
Utawala against wananchi.
Maandiko haya unayatoa ukiwa bar...unakunywa double za konyagi baada ya viroba kupigwa marufuku?
 
ni masikitiko makubwa kwamba polisi wetu wanauawa. mimi ni mzalendo sana kusema kweli hata ukiona tunabishana siasa na ccm hapa, naongea tu lakini moyoni mimi ni mzalendo mno kwenye nchi. katika hili, nafikiri watz tunatakiwa kuwa wamoja, kwasasa serikali ya awamu ya tano imetugawanya sana watz. serikali imetugawanya. wakati marais wengine huwa wanahangaika kuunganisha wananchi, uongozi wa sasa umewagawanya wananchi hivyo hata hatuoneani huruma. naongea hivyo baada ya kuona comments kadhaa juu ya mauaji haya kwenye thread zingine.

polisi na wananchi wamekuwa ni kama paka na panya. kwamfano bashite anapotumia polisi kufanya atakayo wananchi wana wanawachukia polisi, wanawachukia viongozi, na kuichukia serikali yote.

sasaivi hata mtu wa serikalini akipata shida, wananchi wachache wanaona huruma, watu wanaona serikali ni adui yao, rais anamlinda mtu ambaye wananchi wote hawamtaki. nchi inakuwa kama inaongozwa na watu wawili tu, mkulu na bashite, dharau zimezidi, hakuna umoja hata miongoni mwa viongozi wenyewe kama mawaziri na wabunge etc, nchi imeparaganyika, na yanapotokea matatizo kama haya usifikiri kila mtu atakuwa na sympathy, na ukiona kuna dalili wananchi kuichukia serikali namna hii, ujue wananchi hao watahitaji ushawishi mdogo sana kujiunga na adui either wa serikali au wa nchi ilimradi wapate kunufaisha maisha yao. kiongozi mwenye akili siku zote hutafuta kuunganisha wananchi na sio kuwagawanya. hayo ndiyo matokeo yake na hatutakiwi kufanya makosa 2020.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzalendo ghafuuuuula ukapotea ukaonyesha ranhi yako halisi...2020 makosa hamtafanya mtakaopga kura ila ukawa sijui ufipa kwa ss msahau kupewa nchi,labda mzalishe watu wa kueleweka kwa ajil ya future generation
 
Misingi ya kuanzishwa ni kutetea wasio na mamlaka na kuangalia mamlaka kama hazivunji haki za msingi za Raia wake.Hata wananchi wanapokuwa ndio wamekosa,mfano mikusanyiko na maandamano yasiyo na vibali basi wao wataangalia je,vyombo husika vitatumia nguvu kiasi gani kudeal na watu hao!
Kiufupi LHRC siku zote huangalia matendo ya wenye mamlaka dhidi ya wananchi!
Kazi yao nyingine ni kufanya majumuisho ya kura za UKAWA ili CCM iondoke madarakani!
 
Hawa wanawatu wao wa kuwatolea matamko
 
Back
Top Bottom