jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Kituo hiki cha wanaharakati wa haki za binadamu kimekuwa active sana pale wanapoona polisi 'wakinyanyasa' raia au kuua majambazi on the spot...
Kituo hiki kilipinga sana kauli ya Rais ya kuwataka polisi kuwashughulikia majambazi on the spot ....
Leo hii tumeshuhudia askari wetu wakiuawa wakati wanatekeleza majukumu yao...wameuawa na wasiojali haki za binadamu.
Natoa wito kwa LHRC watoe tamko au wakae kimya milele.