LHRC watoe tamko dhidi ya mauaji ya polisi wetu !

LHRC ni genge la wahuni ni wapumbavu kabisa,kile ni chama cha siasa
 
Kituo hiki cha wanaharakati wa haki za binadamu kimekuwa active sana pale wanapoona polisi 'wakinyanyasa' raia au kuua majambazi on the spot...
Kituo hiki kilipinga sana kauli ya Rais ya kuwataka polisi kuwashughulikia majambazi on the spot ....

Leo hii tumeshuhudia askari wetu wakiuawa wakati wanatekeleza majukumu yao...wameuawa na wasiojali haki za binadamu.

Natoa wito kwa LHRC watoe tamko au wakae kimya milele.
huyu mama kijo bisimba hawezi toa neno hadi wanaompa pesa wamuelekeze. hao lhrc wanatumika kwa faida ya maadui wa nchi na wapinga maendeleo ndio maana wako sambamba na vyama vya upinzani
 
Waziri wako ameshatoa Tamko? Nikuulize kitu kimoja? Uliwasajili wewe? Unawafadhili wewe? Wewe ni Nani hata uwapangie cha kufanya? We umeshatoa Tamko? Au sii jukumu lako?
Akipigwa risasi mwanao ndo utaelewa nn unatamka
 
Kituo hiki cha wanaharakati wa haki za binadamu kimekuwa active sana pale wanapoona polisi 'wakinyanyasa' raia au kuua majambazi on the spot...
Kituo hiki kilipinga sana kauli ya Rais ya kuwataka polisi kuwashughulikia majambazi on the spot ....

Leo hii tumeshuhudia askari wetu wakiuawa wakati wanatekeleza majukumu yao...wameuawa na wasiojali haki za binadamu.

Natoa wito kwa LHRC watoe tamko au wakae kimya milele.
1506702359380913
Tusikimbilie kukosoa mambo kwa hisia, LHRC walifika eneo la tukio na kushiriki mazishi wa askari hao. Wakati huo Rais wa Jamhuri anafanya uzinduzi wa mabweni. Tuwe na umakini katika kukosoa. LHRC inatetea haki za binadamu na haki hizi hazibagui.
 
Attachments

  • Kibiti.JPG
    Kibiti.JPG
    32.1 KB · Views: 27
1506702359380913
Tusikimbilie kukosoa mambo kwa hisia, LHRC walifika eneo la tukio na kushiriki mazishi wa askari hao. Wakati huo Rais wa Jamhuri anafanya uzinduzi wa mabweni. Tuwe na umakini katika kukosoa. LHRC inatetea haki za binadamu na haki hizi hazibagui.
Ni pamoja na majumuisho ya kura za Ukawa
 
Back
Top Bottom