LHRC watoe tamko dhidi ya mauaji ya polisi wetu !

LHRC watoe tamko dhidi ya mauaji ya polisi wetu !

Values: LHRC has a number of core values that guide the way the members, the board, staff and partners relate and operate. The values of the LHRC are:

i). Integrity; ii).Equality; iii).Transparency; iv).Accountability; v). Professionalism; and vi).Voluntarism and volunteerism.

Specific Objectives

i).Promote respect and observance of human rights and democracy;
ii).Promote respect and observance of the rule of law and due processes;
iii).Promote consumer protection;
iv).Create networks with public interest and human rights organisations, non-governmental organisations, universities, relevant research institutions, religious associations and legal associations’ societies;
v). Promote public awareness in the field of environmental protection;
vi).Provide (on request) consultancy services to government and non-governmental organizations provided that it is within the spirit of the social and educational objectives of the LHRC;
vii).Organize and sponsor conferences, seminars, workshops, meetings and such other undertakings with a view to promoting the social and educational objectives of the LHRC;
viii).Raise funds for the purposes of the LHRC on such terms as are compatible with the autonomy of the LHRC and within the spirit of its social and educational objectives;
ix).Publish articles and various publications on legal education, society and human rights.
x).PROVIDED that the objectives of the LHRC shall not extend to putting up or supporting candidates for government or local authority elections which would make it a political party within the meaning of a political party as stipulated in the Political Parties Act, 1992.
Human Rights
-----------------------
Nilini ulisikia hawa LHRC wanawashauri watanzania waliotaka kufanya kusanyiko bila kufuata taratibu (sheria) waliwaasa wasifanye hivyo, ama hata kwa kuwashauri watanzania wengine wasikubali kwenda kwenye mikusanyiko hiyo? Ni lini uniambie. Si wakati wa Operation sangara, Ukuta, migomo ya madaktari, nakadhalika...hakuna!! Kama ipo nikumbushe.
Misingi ya kuanzishwa ni kutetea wasio na mamlaka na kuangalia mamlaka kama hazivunji haki za msingi za Raia wake.Hata wananchi wanapokuwa ndio wamekosa,mfano mikusanyiko na maandamano yasiyo na vibali basi wao wataangalia je,vyombo husika vitatumia nguvu kiasi gani kudeal na watu hao!
Kiufupi LHRC siku zote huangalia matendo ya wenye mamlaka dhidi ya wananchi!
 
Misingi ya kuanzishwa ni kutetea wasio na mamlaka na kuangalia mamlaka kama hazivunji haki za msingi za Raia wake.Hata wananchi wanapokuwa wamekosa,mfano mikusanyiko na maandamano yasiyo na vibali basi wao wataangalia je,vyombo husika vitatumia nguvu kiasi gani kudeal na watu hao!
Kiufupi LHRC siku zote huangalia matendo ya wenye mamlaka dhidi ya wananchi!

Kwa andishi lako hili nimerudi tena na kuisoma " About US " ya LHRC. Na nimelazimika kuweka baadhi ya sehemu yake hapa. Lengo kutafuta ni wapi wapi LHRC wameeleza kuwa msingi wa kuanzishwa kwake ni kutetea wasio na mamlaka na kuangalia mamlaka kama hazivunji haki za msingi za Raia wake. Sikuona jambo hili sana sana nimegundua mengi yanayokanusha msingi huo ulioueleza. Pitia sehemu hiyo ya About Us ya LHRC hapa chini. Nimekaza wino sehemu ninazodhani zina pinga kile ulichoeleza.
========
1 Vision: The Legal and Human Rights Centre envisages a JUST and EQUITABLE society.

2. Mission: The LHRC is a non-partisan, non-profit sharing, non-governmental organization striving to empower the public, promote, reinforce and safeguard human rights and good governance in Tanzania through legal and civic education and information; sound legal research and advise; monitoring and follow up of human rights violations; and advocacy for reforms of policies, laws and practices to conform to international human rights standards.

3. Target Groups: The target groups or beneficiaries of the Legal and human Rights Centre (LHRC) include the indigent, women, children, youths, men, people with disabilities, politicians, policy makers, legislators, law enforcers, community leaders, influential people, civil society organizations and the general public.

4. Strategic Direction: LHRC has identified five key strategic objectives of which achievements will lead LHRC towards realising an equitable and just society:-
The five purposes are aimed :
i).A citizen Centred constitution
ii). Improved laws, policies, and practicles that are human rights sensitive-Justice Administration system engaged for reform; -Advocacy on legal and policy frameworks improved in conformity to human rights principles
iii).Informed and Empowered Public
iv).Improved monitoring of companies compliance to regional and international standards with regards to economic, social and, environmental rights
v). Efficient, effective, relevant and sustainable LHRC
Human Rights
 
Kijo Bisimbi mnafiki tu, halafu kamanda Askofu Shoo siku hizi yupi kimya, vipi hajapewa mgao na mamvi, huyo askofu ni mnafiki kuzidi hata Kijo Bisimba.[/QUOTE

Hawa huwa wapo kwa masrahi mapana ya kaskazini mkuu, taasisi zao na watu wao ndo muhimu kwao. Ni wanafiki hatari sana kwa maendeleo ya utaifa wetu na hawafai
 
Tamko la nn wkt policcm ndo wanaua raia kila siku......wao policcm wanakufa mara mojamoja km hivi....
 
Na kamanda Askofu Shoo sijui kwa nini yupo kimya hapa au mamvi hajapitisha mgao ? Huyu kamanda anaaibisha sana kanisa la Kilutheri.
 
Kwa andishi lako hili nimerudi tena na kuisoma " About US " ya LHRC. Na nimelazimika kuweka baadhi ya sehemu yake hapa. Lengo kutafuta ni wapi wapi LHRC wameeleza kuwa msingi wa kuanzishwa kwake ni kutetea wasio na mamlaka na kuangalia mamlaka kama hazivunji haki za msingi za Raia wake. Sikuona jambo hili sana sana nimegundua mengi yanayokanusha msingi huo ulioueleza. Pitia sehemu hiyo ya About Us ya LHRC hapa chini. Nimekaza wino sehemu ninazodhani zina pinga kile ulichoeleza.
========
1 Vision: The Legal and Human Rights Centre envisages a JUST and EQUITABLE society.

2. Mission: The LHRC is a non-partisan, non-profit sharing, non-governmental organization striving to empower the public, promote, reinforce and safeguard human rights and good governance in Tanzania through legal and civic education and information; sound legal research and advise; monitoring and follow up of human rights violations; and advocacy for reforms of policies, laws and practices to conform to international human rights standards.

3. Target Groups: The target groups or beneficiaries of the Legal and human Rights Centre (LHRC) include the indigent, women, children, youths, men, people with disabilities, politicians, policy makers, legislators, law enforcers, community leaders, influential people, civil society organizations and the general public.

4. Strategic Direction: LHRC has identified five key strategic objectives of which achievements will lead LHRC towards realising an equitable and just society:-
The five purposes are aimed :
i).A citizen Centred constitution
ii). Improved laws, policies, and practicles that are human rights sensitive-Justice Administration system engaged for reform; -Advocacy on legal and policy frameworks improved in conformity to human rights principles
iii).Informed and Empowered Public
iv).Improved monitoring of companies compliance to regional and international standards with regards to economic, social and, environmental rights
v). Efficient, effective, relevant and sustainable LHRC
Human Rights
Hayo yote uliyoandika yanasupport hoja yangu!Ukiangalia vision yao,maneno "Just and equitable society"! Je,katika hili ni nani anakuwa targeted kuinsure just and equitable society?
 
Kituo hiki cha wanaharakati wa haki za binadamu kimekuwa active sana pale wanapoona polisi 'wakinyanyasa' raia au kuua majambazi on the spot...
Kituo hiki kilipinga sana kauli ya Rais ya kuwataka polisi kuwashughulikia majambazi on the spot ....

Leo hii tumeshuhudia askari wetu wakiuawa wakati wanatekeleza majukumu yao...wameuawa na wasiojali haki za binadamu.

Natoa wito kwa LHRC watoe tamko au wakae kimya milele.
SUBUTU siku hizi ni chama cha kisiasa!
 
Nilishakueleza siku za nyuma kuwa kwa sasa hausumbui kama zamani! Zamani ulikuwa msumbufu kweli. Jali sana maandishi yako kabla ya kuyabandika majukwaani. Maandishi yako yanasomwa na wengi.

Na nikusaidie tu kuwa maandishi yangu huwa hayaishii tu kusomwa na hao so called ' wengi ' wako bali hata mambo yangu ambayo huyaandika humu humu JF hao hao ' wengi ' wako huyachukua na kuyafanyia Kazi haraka sana na kama ukitaka nikupe baadhi ya mifano yake ukitaka naweza vile vile. Na huyu ndiyo GENTAMYCINE ' Talented and Charismatic '.
 
LHRC wapo kwa ajili ya Chadema,wangeguswa Chadema ungewasikia lkn wameuliwa polisi huwezi kuwasikia ndo kwanza wanafurahia..!!
 
Kwahiyo Jambazi sio mtu wako au sio watu wetu?
Fanya naye urafiki kma ana utu na wewe...xbu yeye akija hakuachi utasemaje ni mtu wako, wewe unafikiri kwa nini watu wanachukua hadi sheria mkononi na kuamua kuwasulubu ni kwamba siyo mtu wako tena ni mtu ambye ameshsingia ibilisi tayari kukuangamiza mkuu.
 
Basi kama hujui majambazi ni ndugu zetu, damu zetu na wanawapenda watu waliowazunguka hata familia zao, Je hao sio wenzetu
 
Basi kama hujui majambazi ni ndugu zetu, damu zetu na wanawapenda watu waliowazunguka hata familia zao, Je hao sio wenzetu
Mimi hata kakangu akishakuwa jambaxi si ndgu yangu tena, muda wwte hata mi ataninanga...na siwezi kumwaacha aangamize jamii kwa kumlinda, labda wewe unaweza walinda majambazi kwa kuwa damu zenu ni moja.
 
Wao wanashughulika na kufatilia na kuisimamia serikali iheshimu haki za raia, polisi ni chombo cha dola cha serikali, polisi sio raia LHRC haishughuliki nao
 
Kituo hiki cha wanaharakati wa haki za binadamu kimekuwa active sana pale wanapoona polisi 'wakinyanyasa' raia au kuua majambazi on the spot...
Kituo hiki kilipinga sana kauli ya Rais ya kuwataka polisi kuwashughulikia majambazi on the spot ....

Leo hii tumeshuhudia askari wetu wakiuawa wakati wanatekeleza majukumu yao...wameuawa na wasiojali haki za binadamu.

Natoa wito kwa LHRC watoe tamko au wakae kimya milele.
Hili linalaaniwa na awaye yote hata wasiposema. Kimsingi kazi vyombo vya usalama ni kupambana na wahalifu kwa sheria zilizowekwa. Kwa hili LHRC wanapswa kushutumu vyombo vya usalama kutojishughulisha na intelijensia ya kweli hadi kufikia wana jeshi wetu kushambuliwa kinyama. Wana usalama wananchi kufanya mambo ya msingi wana ihia kujishughulisha na wana siasa wasiohatarisha usalama wa nchi kwa vyovyote vile. Usalama wa nchi hii umekuwa usalama wa ccm na ndio maana wanapambana na raia. LHRC wana lanai matukio yanayofanywa na wale waliopaswa kutoa ulinzi kwa wananchi na badala yake kugeuka kuwa waters ahi na wauwaji wa raia
 
Hawalaani raia wanaofuga wahalifu na kuharibu miundombinu ya umma?
 
wewe ni mjinga na mnafiki, watu kama ninyi ndio mnaoongoza nchi kama hii, akili kama zako ndizo zinazoongoza nchi hii na ndio maana hatuendelei. unafiki ndio unaoligarimu taifa hili na ndio maana mnafoji vyeti na kukalia viti serikalini.

watu wanaogawanya wananchi unafikiri ni nani? unajua kuwa magufuli alivyoingia madarakani alikuwa anaungwa mkono sio tu na dunia nzima, bali hata chadema etc? lakini siku zilivyoenda, watu walipokuwa wanatoa dukuduku zao na wanaona wanadharauliwa, limeibuka tabaka tayari la wachache wanaolindwa naye ambao wanajifanya hawaoni complains za wananchi, maumivu ambayo wananchi wanayapata mtaani yeye pamoja na wanaomsapoti wanajifanya hawaoni, matokeo yake chuki dhidi ya serikalini imekuwa kali mno, hivyo hakuna umoja kitaifa na anayesababisha hayo yote ni yeye mwenyewe pamoja na wanaomdanganya kuwa wanaweza kuongoza kama vile bashite.

hoja ya msingi sana hapa ni kuulinda utaifa wetu, tulinde umoja wetu, vitu vyote vinavyoweza kutugawanya, kutufanya tusiwe pamoja tuviepuke. kwa chuki serikalini namna hii, watu wamesoma hawana kazi, watu ni masikini mtaani kuliko kipindi cha kikwete, unafikiri akitokea gaidi mmoja kuamua kugawa hela watu wajiunge huko mkuranga, itashindikana? mtu akiwa frustrated, hana upendo tena na nchi yake, hana upendo na serikali, akili yake inawaza nifanye chochote ili nilishe familia etc, inakuwa rahisi sana kufanya maamuzi ya kipumbav kama hayo ya mkuranga.

jiulize, hao wa mkuranga kwani wameanza leo, si wamoja na wale wa kibiti, mapango ya ambani tanga etc?, je, nani ana wafund? hawaishi miongoni mwa raia? sio watz hao? sio watoto wetu na ndugu zetu?....ni ndugu zetu tu hao, anayetakiwa kuwafichua walipo ni raia na sio polisi, polisi atapata information toka kwa raia wa kawaida kabisa...NA KAMA KUNA CHUKI NA HAMNA UMOJA NCHINI kwenye issue ya uzalendo, unafikiri raia gani atatoa msaada kwa serikali?

enzi za nyerere kulikuwa na uzalendo mkubwa sana, mtu akifika hata kwa balozi tu kama ana uhatari wowote, taarifa hizo tayari zimeshafika serikalini, kila mtu alikuwa usalama wa taifa...lakini sasaivi bashite na genge lake ndio wanajifanya usalama wa taifa, kufanya majaribio ya kijinga kabisa. hivi jaribio la huyo gaidi utalilinganisha na la bashite? michezo ya kitoto kutumia vyombo vya usalama kufanya mambo ya kupumbav kudhalilisha tu jeshi na TISS. bashite na mkulu wote hawana background ya inteligensia yeyote za kijeshi wala usalama wa taifa, wametoka zao tu huko koromije na geita hawajui chochte. hapo ndipo tunaona umuhimu mtu kama membe ndio alitakiwa kuwa rais, na sio hawa wasiojua wanachokifanya. acheni kuharibu nchi yetu, watu wameijenga hii nchi kwa garama kubwa alafu ninyi kwa muda mchache muharibu? kwa kutokusikiliza kilio na ushauri toka kwa watu, mnaharibu nchi yetu na Mungu atawahukumu!
Upeo wako wa kufikiri ni mkuubwa sana lakini hauvuki nje ya kibuyu....

Unafahamu takwimu za mauaji ya polisi yaliyofanywa na waalifu 2016 nchini marekani yalikuwa mangapi?unafahamu yaliongezeka kwa kiasi gani??Je Marekani kuna bashite??

Unakumbuka mauaji ya polisi ngorongoro??au ulikuwa hujazaliwa??

Huu ni uhalifu na utamalizwa kwa njia ya haraka....

SASA nyie pigeni siasa kutaka kuonesha kuwa eti Makonda ndio kasababisha....Makonda ataendelea kuwepo na watakaoanguka ni wauza ngada kama mwenyekiti wako.
 
Back
Top Bottom