real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Mwanasheria wa Kituo cha utetezi wa haki za binadamu na sheria (LHRC) P. Mlowe kimesema utaratibu wa kuwapa wabunge adhabu kwa utashi wa kamati ya bunge na kupigiwa kura na wabunge haufai kwa kuwa inaweza kutokea wabunge wakafanya kosa hilo hilo na wasipewe adhabu kwa sababu ya maoni ya kamati
Pia amesema kuwaita wabunge hao ni wakorofi inakuwa sio sahihi maana kuna wengine wanawaona wabunge machachari, hivyo wangefafanua mtu mkorofi ni mtu mwenye sifa zipi
Pia amesema kuwaita wabunge hao ni wakorofi inakuwa sio sahihi maana kuna wengine wanawaona wabunge machachari, hivyo wangefafanua mtu mkorofi ni mtu mwenye sifa zipi