LHRC wapinga utaratibu uliotumika kufungia wabunge

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mwanasheria wa Kituo cha utetezi wa haki za binadamu na sheria (LHRC) P. Mlowe kimesema utaratibu wa kuwapa wabunge adhabu kwa utashi wa kamati ya bunge na kupigiwa kura na wabunge haufai kwa kuwa inaweza kutokea wabunge wakafanya kosa hilo hilo na wasipewe adhabu kwa sababu ya maoni ya kamati
Pia amesema kuwaita wabunge hao ni wakorofi inakuwa sio sahihi maana kuna wengine wanawaona wabunge machachari, hivyo wangefafanua mtu mkorofi ni mtu mwenye sifa zipi

Wasiingilie muhimili wabunge. Mauaji yanatokea Rufiji na Mkuranga wanakaa kimya.
 
Hata hivyo nashangaa wamekaa muda mrefu bila kutimiza wajibu wao waliokwisha kupewa wa KUKOSOA
Nahis watakuwa wamekumbushwa kuwa mbona mumesahau jukumu jukumu na makubaliano???? Wonders never end!!!!!
 
Mwanasheria wa Kituo cha utetezi wa haki za binadamu na sheria (LHRC) P. Mlowe kimesema utaratibu wa kuwapa wabunge adhabu kwa utashi wa kamati ya bunge na kupigiwa kura na wabunge haufai kwa kuwa inaweza kutokea wabunge wakafanya kosa hilo hilo na wasipewe adhabu kwa sababu ya maoni ya kamati
Pia amesema kuwaita wabunge hao ni wakorofi inakuwa sio sahihi maana kuna wengine wanawaona wabunge machachari, hivyo wangefafanua mtu mkorofi ni mtu mwenye sifa zipi

Pumbvu zenu
 
Mbona wanapenda kuingilia mambo ya siasa? Raia wanakufa kibiti, ikwiriri na Rufiji hamsemi ninyi akili zenu tope kabisa pumbavu
 
Heeeeeeeee raia wanakufa kibiti................................ ha ha ha ha ha my ribs................... wabebe silaha ama? si mnadhimu wa kambi ya upinnzania ailiongelea mkampiga stop? yaache ya ngoswe bwana
 
Mimi nafikiri LHRC wajipange waende huko huko Bungeni wakaongee pembeni na wabunge, maana maamuzi ya Bunge hupingwa au hubadilishwa na Wabunge wenyewe, na si vinginevyo. Wasipoteze muda kuita press conference wakiwa hapo ofisini kwao LHRC.
 
CCM wanafanya madudu Sana halafu wanajihisi wao ndio mwisho wa kila kitu.
 
Hawa jamaa wa kituo cha haki za binadamu sijawahi kuwa na imani nao na naona wanafuatilia matukio ya kisiasa zaidi kuliko misingi halisi ya haki za binadamu

Yaani wao kwao haki za binadamu zimevunjwa pale ambapo wanasiasa wa upinzani wametendewa kinyume.

Lakini tumeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu maeneo mbalimbali hapa nchini ila wao kimya. Hawapaswi kubagua matukio ya kuyakemea.

Kwa mf bungeni, mauaji ya pwani, manyanyaso ya wananchi wa maeneo yanayozunguka migodi, hifadhi za wanyama n.k

Kila tukio lina uzito sawa maana binadamu wote ni sawa bila kujali chama chake, kabila lake, dini/ dhehebu lake, hali yake ya kiuchumi, ukanda anaotoka n.k hivyo kila tukio wanapaswa kuyakemea kwa uzito sawa sio kujiingiza kwenye siasa
Sema wewe ndio umewasikia kwenye hili lenye kukuwasha, lakini mimi ninazo kumbukumbu hata walishawahi kuandamana sababu ya mgomo wa madaktari wakakamatiwa Selander Bridge.
 
Acha unafiki wewe hili la Rufiji lililetwa bungeni na mbowe mkajibu nini CCM na saizi unajifanya umesahau sio,mkiwa waongo muwe na kumbukumbu

Ona sasa alikotokea. Mada ingine. Point nyingine. Why sasa JF ni ya Chadema au. Ujinga mkiandika ndo una haki. Grow up you stupid
 
Mwanasheria wa Kituo cha utetezi wa haki za binadamu na sheria (LHRC) P. Mlowe kimesema utaratibu wa kuwapa wabunge adhabu kwa utashi wa kamati ya bunge na kupigiwa kura na wabunge haufai kwa kuwa inaweza kutokea wabunge wakafanya kosa hilo hilo na wasipewe adhabu kwa sababu ya maoni ya kamati
Pia amesema kuwaita wabunge hao ni wakorofi inakuwa sio sahihi maana kuna wengine wanawaona wabunge machachari, hivyo wangefafanua mtu mkorofi ni mtu mwenye sifa zipi

Hao LHRC ni MAFALA~as said by Halima Mdee
 
Back
Top Bottom