LHRC Wako sahihi kumshitaki Mizengo Pinda

LHRC Wako sahihi kumshitaki Mizengo Pinda

Kwa akili na mawazo yako ulichokiandika kinaendana na kauli ya Pinda,tafakari ndugu unapoandika.

zote ni kauli za viongozi wetu wakuu kuagiza matumizi ya nguvu kuwadhibiti wahalifu. au akina bisimba wanapima maji ya mto kwa kutumbukiza miguu?
 
SEma kipengele hicho kipo?
au ndo wale mnaoamini kuwa kila asemacho kibaraka wa CHADEMA ni sahihi?
Mpeni huyo mama Mnyarwanda cheo anyamaze.

Mkuu, Thatha, leo nimeamini kuwa hawa Bavicha hawashirikishi kabisa ubongo katika kufikiri. sijui wanatumia kiungo gani cha mwili kufikiri
 
unakumbuka lile tukio la wafanyakazi wa mgodi wa Marikana pale South Africa kupigwa risasi na zaidi ya watu 40 waliuawa? je pale waliwapeleka mahakamani au dola ilitumia nguvu kudhibiti usalama? acheni kujidanganya nyie bavicha. lile tukio la marikana umesikia limepelekwa the hague?
Kwani wewe na Mtanzania au Msouth Africa? Hacha kuishi kwa akili za jirani build ur empire kijana!
 
Katika sheria ya haki "Substantive Justicce" kuna Phrase inayosema. " SUBSTANTIVE JUSTICE SHOULD BE ADMINISTERD WITH UNDUE REGARD TO TECHNICALITIES" Maana yake ni kuwa hata kama kuna kinga amazo zimewekwa na sheria ndogo ndogo kama hizo za kinga ya bunge haziwezi kuzuia msingi wa Katiba kuhusu haki. Na ndiyo maana kuna sheria inayoitwa " lifting the vail" yaani kuondoa kinga ili kupata haki. Hivyo mtu yeyote anayebwabwaja kuwa Waziri Mkuu hawezi kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa Bungeni ni kwa kuwa hana uelewa wa Sheria au amekariri tu.Mzee Pinda ni Waziri Mkuu tena Mwenye Taaluma ya sheria hivyo kwa nafasi yake kauli aliyoitoa Bungeni ni Maagizo ya Serikali na haiwezi kukingwa na sheria za Immunity. My Take:Waliotunga sheria hiyo ya immunity ya Bunge awakuiweka ili viongozi. Watoe kauli hatari kama hizo na wasichukuliwe hatua, hivi kesho waziri wa mambo ya ndani akitoa kauli BUNGENI kuwa police waue watu hatashitakiwa kwa kuwa tu alisema akiwa Bungeni? Tafakari!

Wanaweza kuwa sahihi kwa vile wana uhuru wa kumshtaki lakini wanaweza wasiwe na sababu ya msingi kama abavyo wamechemka kwa hili la PINDA. Mimi nadhani wangeanza na kutoa elimu kwa watanzania kutii amri bila shuruti.
 
Mkuu, Thatha, leo nimeamini kuwa hawa Bavicha hawashirikishi kabisa ubongo katika kufikiri. sijui wanatumia kiungo gani cha mwili kufikiri
Tatizo lenu Magamba mnaacha akili ndogo itawale akili kubwa.
 
Kwani wewe na Mtanzania au Msouth Africa? Hacha kuishi kwa akili za jirani build ur empire kijana!

Lazima tujifunze kwa mifano, alilolisema Lizaboni ni sahihi kabisa. Unajua Hawa wanaojiita wanaharakati wa Tanzania wanapoteza kabisa sifa za kusimamia nyadhifa zao na kuendekeza siasa.
 
Kwani wewe na Mtanzania
au Msouth Africa? Hacha kuishi kwa akili za jirani build ur empire
kijana!

mkuu, south africa is more democratic than tanzania. hilo lazima ukubaliane nami. ninachokuambia ni kuwa vyombo vya dola vina mamlaka ya kutumia nguvu kukabiliana na wakaidi. hata bila kauli ya pinda, ni wengi sana wamepata mkong'oto wa polisi na hawajalalamika popote. nimekutolea mfano wa south afrika ili upime ujinga wa akina kijo bisimba
 
Wanaweza kuwa sahihi kwa
vile wana uhuru wa kumshtaki lakini wanaweza wasiwe na sababu ya msingi
kama abavyo wamechemka kwa hili la PINDA. Mimi nadhani wangeanza na
kutoa elimu kwa watanzania kutii amri bila shuruti.

mkuu, hivi hujawashtukia tu hawa LHRC kuwa ni mkono wa pili wa chama hiki kikuu cha upinzani?
 
hapo ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi(C TANZANIA HII TUNAYOIJUA ASHTAKIWE WAZIRI MKUU AU RAIS KAMA INGEKUWA HIVYO MKAPA NA LOWASA WASINGE SALIA.......HAPO NI KWAMBA HAWA JAMAA WANATAFUTA HELA WAKISHATULIZWA BASI MAMBO YANAISHA.:tape:
 
mkuu, south africa is more democratic than tanzania. hilo lazima ukubaliane nami. ninachokuambia ni kuwa vyombo vya dola vina mamlaka ya kutumia nguvu kukabiliana na wakaidi. hata bila kauli ya pinda, ni wengi sana wamepata mkong'oto wa polisi na hawajalalamika popote. nimekutolea mfano wa south afrika ili upime ujinga wa akina kijo bisimba

Mkuu watu kama akina Gashongoile wako humu kikazi zidi kuhakikisha upumbavu wa HELLEN KIJO BISIMBA unahalalishwa na kuonekana ni sahihi.
 
hapo ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi(C TANZANIA HII TUNAYOIJUA ASHTAKIWE WAZIRI MKUU AU RAIS KAMA INGEKUWA HIVYO MKAPA NA LOWASA WASINGE SALIA.......HAPO NI KWAMBA HAWA JAMAA WANATAFUTA HELA WAKISHATULIZWA BASI MAMBO YANAISHA.:tape:

Juzi viongozi wao toka Ujerumani walikuwa hapa nchini na wamewaachia euro za kutosha kwa hiyo lazima waoneshe kuwa wanazifanyia kazi , mambo chungu nzima yanayohatarisha amani nchini yamefanywa na viongozi wao wa upinzani lakini sijasikia hata siku moja huyu MNYARWANDA MKWE WA KIPARE akiwapeleka mahakani mpaka Serikali ikomae ndo waone haki zinakiukwa.
 
hapo ni sawa na
kulinganisha kifo na usingizi
(C TANZANIA HII TUNAYOIJUA
ASHTAKIWE WAZIRI MKUU AU RAIS KAMA INGEKUWA HIVYO MKAPA NA LOWASA
WASINGE SALIA.......HAPO NI KWAMBA HAWA JAMAA WANATAFUTA HELA
WAKISHATULIZWA BASI MAMBO YANAISHA.
:tape:

nani atawapa fedha wahuni hawa. hawa ni kuwakomalia tu kuwa hakuma mashtaka dhidi ya pinda halafu tuone kama watapeleka the hague ujinga wao huo
 
Mkuu, Thatha, leo nimeamini kuwa hawa Bavicha hawashirikishi kabisa ubongo katika kufikiri. sijui wanatumia kiungo gani cha mwili kufikiri

Siku hizi wamegundua mbinu mpya lakini yenye akili ndogo sana, eti wanaumia vibaraka ambao siyo raia wa kuzaliwa kama akina BISIMBA, ULIMWENGU na PONDA kufikisha azma yao ya kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa wananchi
 
nani atawapa fedha wahuni hawa. hawa ni kuwakomalia tu kuwa hakuna mashtaka dhidi ya pinda halafu tuone kama watapeleka the hague ujinga wao huo

Binafsi nashangaa , hivi wanatumia mbinu gani kuwahadaa hao jamaa mpaka wakubali kuwapa pesa au kuna agenda ya siri imejificha katika hii misaada wanayopewa?
 
Ashitakiwe tu. Tumechoka na viongozi wanaovunja katiba ya nchi na kuhatarisha usalama Wa raia
 
yaani na wewe unashangilia pumba alizoandika huyu jamaa? hawajui kuwa katika opereshen ya wiki mbili ijayo ndugu zake akina kijo bisimba ndo walengwa. hapo ana hasira kweli

Tope...
 
Ashtakiwe tu huyu amezidi kuropoka. Hivi Watanzania tungesema Viongozi wote wanaovurunda adhabu yao iwe kupigwa tu na Watanzania kwani tumechoshwa na viongozi wabovu huyu P angejisikiaje!? Awe anafikiria cha kuongea kabla ya kuropoka. Sugu hakukosea kabisa.
 
Matwakwa ya wananchi walio wengi ndio sheria, hatukuchagua serikali ili itumie dola vibaya kutuadhibu watakavyo bila sababu/
 
Kama kweli hata wewe kwa umri ulionao haujui kuwa kumpiga mtu ni kukiuka haki yake au haki ya binadamu basi sina hata aja yakukufundisha au kukwambia ni kifungu ggani kwenye Katiba kina zuia mtu kupigwa. Maana hii ni Moral Justice ilikuwepo hata kabla ya Katiba. Jitambue ndugu!
Mburula
 
Back
Top Bottom