Yaani Magamba bhana! Mkiminywa kidogo tu tayari utasikia UDINI na UKABILA tu. Kweli CCM imekosa uhalali wa kutawala a.k.a. out of political legitimacy.Juzi viongozi wao toka Ujerumani walikuwa hapa nchini na wamewaachia euro za kutosha kwa hiyo lazima waoneshe kuwa wanazifanyia kazi , mambo chungu nzima yanayohatarisha amani nchini yamefanywa na viongozi wao wa upinzani lakini sijasikia hata siku moja huyu MNYARWANDA MKWE WA KIPARE akiwapeleka mahakani mpaka Serikali ikomae ndo waone haki zinakiukwa.
Katika sheria ya haki "Substantive Justicce" kuna Phrase inayosema. " SUBSTANTIVE JUSTICE SHOULD BE ADMINISTERD WITH UNDUE REGARD TO TECHNICALITIES" Maana yake ni kuwa hata kama kuna kinga amazo zimewekwa na sheria ndogo ndogo kama hizo za kinga ya bunge haziwezi kuzuia msingi wa Katiba kuhusu haki. Na ndiyo maana kuna sheria inayoitwa " lifting the vail" yaani kuondoa kinga ili kupata haki. Hivyo mtu yeyote anayebwabwaja kuwa Waziri Mkuu hawezi kushitakiwa kwa kauli aliyoitoa Bungeni ni kwa kuwa hana uelewa wa Sheria au amekariri tu.Mzee Pinda ni Waziri Mkuu tena Mwenye Taaluma ya sheria hivyo kwa nafasi yake kauli aliyoitoa Bungeni ni Maagizo ya Serikali na haiwezi kukingwa na sheria za Immunity. My Take:Waliotunga sheria hiyo ya immunity ya Bunge awakuiweka ili viongozi. Watoe kauli hatari kama hizo na wasichukuliwe hatua, hivi kesho waziri wa mambo ya ndani akitoa kauli BUNGENI kuwa police waue watu hatashitakiwa kwa kuwa tu alisema akiwa Bungeni? Tafakari!
Lizaboni ni muhimu sana kuficha upumbavu wako usionekane hadharani, katika kauli za Rais wetu umemsikia kisema hao wahalifu wauawe au wapigwe, Rais wetu amesema kuwa watakamatwa ndiyo maana ya kupambana na vyombo vya dola acha KUPOTOSHA UMMA, Sio kila mtu anayefika hapa JF ni mburula, UMENIKERA NA POST YAKOKawaambie basi LHRC wamshitaki na JK kwa kuwapa wiki mbili majambazi, wahamiaji haramu na mifugo kujisalimisha na kuondoka kagera vinginevyo watapambana na nguvu ya vyombo vya dola
Nakubali kuwa immunity iko kwenye katiba ila hapa itakayojadiliwa maakamani ni RULES OF INTEPRETATION. Nini lilikuwa lengo la ancestors au kwa lugha nyingine walioweka kipengele cha immunity walikuwa na lengo gani? Kulinda watu wavunje Katiba wakiwa Bungeni au? Hiyo ndo ishue kubwa hapo. Ukisoma vizuri sheria utakuta msingi unaosema kuwa Kama kinga yoyote ile itatumika kuminya haki ya msingi ya binadamu kinga hiyo itakuwa NULL AND VOID.Vifungu vyote hivyo vipo ndani ya katiba. kwa hiyo katiba inajichanganya.ni sawa na uhuru wa kupata habari na uhuru wa falagha. Kuku na yai kipi kilitangulia.
.......
......" lifting the vail"...... hii kitu lumumba wanaweza kufikiri "lifti ya gari"
PINDA hana kosa lolote sana sana mtakachoambulia ni matuka kama hayo dhidi yake jambo ambalo kwa mtu mstaarabu haliwezi kumsumbua.