LHRC kuipinga 15% ya Bodi ya mikopo Mahakamani

LHRC kuipinga 15% ya Bodi ya mikopo Mahakamani

Halafu eti hii serikali ndio hushawishi mabenki yapunguze riba za mikopo ili wananchi waweze kukopa wafanye biashara!!!
 
we lipa wwe kutesa kwazamu mmetuoshea sana chuo na vi boom vyenu ssa mnalalmika nni ukiangalia uliishia kula bata tu hafu saivi unaona uchungu we tuliaaa unyolewe
acha pombe
 
Hata vyama vya wafanyakazi vimelala sana! nnachoona angalau kidogo kiko active ni CWT pekee vingine hivi vipo tu kufurahia makato ya uanachama yanayokatwa kwenye mishahara ya wanachama wao na havina mchango wowte! mm pia nipo mstari wa mbele kama ikiwezekana ntachangia hata kidogo gharama za uendeshaji wa kesi hii!
 
baada ya 15% itabidi kufuta vyama vya wafanyakazi,
 
Walikuwa wapi kuanzia mswada ulipopelekwa bungeni hadi kupitishwa? Au ni watetezi kutoka Madagascar!
Hawana mamlaka ya kuzuia mchakato wa bunge ila wana haki ya kupinga sheria mbovu mahakamani.
 
Cha ajabu wafanyakazi hii mada wataipita kama hawaioni.

Wako busy wanaponda Chadema kumpokea Wema.
 
Wanasheria wa nchi ni kina mwakyembe unategemea nini?
 
Wapinge na sheria ya FAO LA KUJITOA kabla haijapitishwa kama kweli ni Wazalendo sio wasubiri siku imepitishwa bungeni ndio waende kupinga mahakamani.
 
Nyie acheni kulia lia kipindi kile mnagoma mnaandamana kushinikiza serikali iwape mikopo
lipeni hizo pesa na wenzenu wapate mikopo wasome tena wangekata 30% ili muwahi kumaliza deni mapema mnakuja kutupigia kelele hapa wakati mnapewa boom mlikuwa mnaponda raha tu kwa sababu hamna uchungu na kodi za wananchi sasa hivi mtaisoma namba ni zamu ya kudai pesa zake kwa nguvu
 
Serikali inawanyonya wananchi kupitia kodi na makato yasiyo na kichwa wala miguu,ipo siku wanaowategemea wote watakuwa wamepoteza ajira sijui watawakata nani maana makampuni yanafungwa.
 
Nyie acheni kulia lia kipindi kile mnagoma mnaandamana kushinikiza serikali iwape mikopo
lipeni hizo pesa na wenzenu wapate mikopo wasome tena wangekata 30% ili muwahi kumaliza deni mapema mnakuja kutupigia kelele hapa wakati mnapewa boom mlikuwa mnaponda raha tu kwa sababu hamna uchungu na kodi za wananchi sasa hivi mtaisoma namba ni zamu ya kudai pesa zake kwa nguvu
pombe zikikuisha , utaleta comment ya maana
 
Back
Top Bottom