Mimi nilishasema sanduku la kura halitaiondoa CCM lazima tuchinjane kidogo ili tueshimiane

mimi nilishasema sanduku la kura halitaiondoa ccm lazima tuchinjane kidogo ili tueshimiane
Safari bado ni ndefu lakini inshallah tutafika.Nimesoma gazeti moja leo eti watu walipewa nyama ya Mbuni wakadanganywa ni ya ng'ombe wakaichagua ccm. Kiukweli ccm imewadhalilisha wananchi wa Igunga yaani kumhonga mtu nyama kilo 1 ni dharau ya hali ya juu, sasa hiyo nyama atakula miaka mingapi. Na hao wanaharakati walikuwa wapi kuwaeleza wanaigunga hayo ndo wajitokeze saiv?
Everybody is someone.Someone aitishe maandamano please.
Everybody is someone.
We fikiri tofauti ya kura na mbinu chafu walizotumia.pamoja na kufanya yote hayo kununua pombe, nyama, kugawa Pesa n.k, lakini wamekula kwata la kutosha kutoka kwa Makamanda wa CDM na sidhani kama Kafumu atakubali kurudi tena ulingoni 2015 au kama kuna kiongozi wa CCM atakayerudi Igunga kukampeni...
pamoja na kufanya yote hayo kununua pombe, nyama, kugawa Pesa n.k, lakini wamekula kwata la kutosha kutoka kwa Makamanda wa CDM na sidhani kama Kafumu atakubali kurudi tena ulingoni 2015 au kama kuna kiongozi wa CCM atakayerudi Igunga kukampeni...
Mimi nilishasema sanduku la kura halitaiondoa CCM lazima tuchinjane kidogo ili tueshimiane
pamoja na kufanya yote hayo kununua pombe, nyama, kugawa Pesa n.k, lakini wamekula kwata la kutosha kutoka kwa Makamanda wa CDM na sidhani kama Kafumu atakubali kurudi tena ulingoni 2015 au kama kuna kiongozi wa CCM atakayerudi Igunga kukampeni...
Kama jimbo moja wametumia Bil.3 fikiria majimbo zaidi ya 200 ongeza na urais watatumia sh. ngapi halafu at the end of the day waambulie 50.3% ya kura zote, and for how long will this keep on happening?We fikiri tofauti ya kura na mbinu chafu walizotumia.