lf you cant marry her, dont make her a mother

lf you cant marry her, dont make her a mother

Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi usimzalishe,sasa utakuta mtu anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaa, kwenda zako uko.
kweli mkuu hata mm huwa ina nipain sana.
Wanatupa kaz sana ss waoaji, unakuta dada keshaharibiwa (kafumuliwa malinda). Ss ndio tunaanza kutibu ugonjwa.
Siku hiz hata wanawake wanajua kuwa wanaume weng hawapend wanawake wwny watoto kwahiyo utadanganywa mpaka bac.
Ila kwa mtoto 1 afadhali mwingine watoto 2 au 3 kila mmoja na babake.
Km umezalishwa na umeachwa hebu kaa na mtoto huyo huyo 1 usiongeze.
 
wacha we!! kwahiyo unaongea nae mbele ya wazazi wake?

Sisi hatua kama vijana wa kileo. Ilikua wazazi wa binti wanaombea kijana kama wewe umuoe binti yao. Wakikukuta njiani wanakuambia kijana karibu nyumbani kutusalimu wakijua ukija utalikuta ua 🙂
 
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi usimzalishe,sasa utakuta mtu anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaa, kwenda zako uko.
mimba wanalengesha makusudi kwa kulazimisha kwa mbinu wakitegemea kitu fulani...so wanataka wenyewe wawe mothers bila arrangement ya wote wawili...tena utakuta wote mnanjunjana tu sio kwamba mmepanga mtaishi pamoja.....
 
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi usimzalishe,sasa utakuta mtu anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaa, kwenda zako uko.
Imekukugusa kama wew ni mhusika... Tukipata wanaume 1000 kama wew hakika ma single mothers watapungua...

Ubarikiwe sana.
 
Kuna vitu vingine wadada wanaforce,mfano mm kunamdada niko nae kwenye mahusiano anajua kabisa kwa sasa sina mpango wa kuoa ananitega ujauzito.Hii nn sasa.....? kisa ohoo napenda kuzaa na wew nikaona nifanye makusudi.
 
If You Dont Want To Be Married By Him,Dont Make Him A Father.
It's That Simple.
 
Tabia haina jinsia . . Lizzy

Mimi nadhani ni jukumu la mwanamke as well as mwanaume kuepusha hizi mimba zisizotarajiwa.

You are absolutely right Mentor

Ila binafsi mi huwa nasema mwanamke anatakiwa awe responsible zaidi kwenye swala la kubeba mimba maana mwisho wa siku mwanaume aikubali au aikatae anayeibeba ni mwanamke. Ukitoa madhara ni kwa mwanamke, ukizaa kama kulea huwezi/hutaki madhara ni kwako na mtoto.

Huwa nachukia sana mwanamke akibeba mimba alafu eti anapiga kelele kuhusu mwanaume kuzingua wakati hawakukubaliana kubeba mimba on the first place.
 
Back
Top Bottom