lf you cant marry her, dont make her a mother

lf you cant marry her, dont make her a mother

kwa kweli wanaume kuweni na huruma, mbaya zaidi mwingine anakataa kabisa na hiyo mimba
binti wa watu analea ujauzito peke yake hadi mtoto.. hivi hamjisikii aibu jamani?
 
Mi cpendi tabia hii, ila basi tu wadada mnachangia tu
 
Unajuaje kama anataka kuolewa?

Hujaona wa Beijing wanaotaka kuzaa tu lakini hawana muda wa kuolewa?
 
Hivi mwanamke yeye hana usemi katika ndoa?

Manake ulichoandika kina presume kwamba kisa tu mwanamke kazaa na mwanaume basi huyo mwanaume akiamua kumuoa huyo mwanamke, yeye huyo mwanamke atakuwa hana usemi zaidi ya kukubali tu

Sasa kwani mwanamke hawezi kuzaa na mwanaume halafu asitake kuolewa naye?

Male chauvinism is still rife in the 21st century!
May be wao beki hazikabi........:wacko:
 
Hahahahaaaa... ndio mikwara hio Bibie Ablessed. Navunja vunja na hizo meza kila kitu nini nini!!!!!(God forbid)
Umesema kama mzee fulani duh haya mimi nitakua mtazamaji. Halafu najiuliza utajuaje wakati watakua wanafanya discussion pamoja.................
 
Last edited by a moderator:
Bottom line girls should keep their legs closed... He is not your husband dont give him the "cookie"......
 
Hahahahaaaa... ndio mikwara hio Bibie Ablessed. Navunja vunja na hizo meza kila kitu nini nini!!!!!(God forbid)
Haki ya nani huu mkwara mzito lazima watu waje na mabaunsa tena mbaya zaidi mtoto mwenyewe awe mcute duh mbona utatembea na mguu wa kuku baba. Usiombe mwanao manjemba yawe yanamzengea bora usikie tu
 
Daz this works for you too? au ni kwa wengine tu?

Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi usimzalishe,sasa utakuta mtu anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaa, kwenda zako uko.
 
Hahahaaaa!! we hukusimama na mama yae ktk mazingira hatarishi?

Sema haki ya Mungu.

Nikimkuta kijana amesimama na binti yangu katika mazingira hatarishi, lazima parapanda Italia.
 
kwani hiyo mimba aliwekewa wakati amelala!?? si wanataka wenyewe na ushirikiano wanatoa.. ka unaona bwana hana future na wewe yanini kumuachia papuchi tena kavu kabisa tena kwenye danger days...... wakomeeeeee
hahaaaaaaa wabeba mimba wengi wanaona kuna future ndio maana wanazibeba
 
hahaaaaaaa wabeba mimba wengi wanaona kuna future ndio maana wanazibeba

tatizo na wao huwa hawako transparent kuonyesha kuwa hakuna hiyo future, mtu anajiaminisha kabisa, alafu hawa viumbe kwa kulaumu wanawake kwa kila mistake yao hawajambo, wao hawakoseagi.
 
Tabia haina jinsia . . Lizzy

Mimi nadhani ni jukumu la mwanamke as well as mwanaume kuepusha hizi mimba zisizotarajiwa.
 
Back
Top Bottom