Lets talk science kwa leo: Kwanini mpaka leo hakuna chanjo ya mafua?

Lets talk science kwa leo: Kwanini mpaka leo hakuna chanjo ya mafua?

Nadhani mafua( common colds) yamekuwepo tangu kuwepo kwa binadamu.
Pamoja na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia, bado mpaka leo hakuna chanjo ya mafua.

Tatizo ni nini?

Tuchepuke kidogo siasa tupeane elimu juu ya mafua.
Kwanza hapa siyo mahala pake.
Hili ni Jukwaa la siasa kama ulkuwa bado hujui.

Pili, inaonyesha usivyokuwa na uelewa.wa fani husika.

Unaposema "mafua" maana yake ni nini?

Hujawahi kusikia chanjo za 'flu' zinazotolewa kila mwaka kwenye msimu/majira maalum wakati hizo flu zinapotegemewa kushambulia?
 
mafua ni viral infection inayo sababishwa na wadudu tofauti tofauti na wanao badilika ndo maana utakuta mtu anamafua ya kubana, kesho ya kutiririka, kesho kutwa ya kupiga chafya ko inakua ngumu kutengeneza chanjo ya moja kwa moja na ndo maana hata dawa nyingi huwa zinatibu zile signs and symptoms
EEEeeeenNHEEEeee!

Na wewe umekuja kivyako; kila mtu kwa utaalam wake!
Huko "kupiga chafya" nako kuna virus wake, na "kubana kifua na kutiririka" nako virus wa aina yake?

Hii ni kama burudani ya kuchangamsha akili na kucheka.
 
ndio cheka alf hiyo kamba unaweza kuitumia kuanikia nguo au kufanyia mazoezi ya kupunguza kilo😊
 
Nadhani mafua( common colds) yamekuwepo tangu kuwepo kwa binadamu.
Pamoja na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia, bado mpaka leo hakuna chanjo ya mafua.

Tatizo ni nini?

Tuchepuke kidogo siasa tupeane elimu juu ya mafua.
Kwasababu serikali imeelekeza nguvu zake kwny kuteka upinzani.
 
NB: Cha kuzingatia ni kuwa bado kuna mamilioni ya virusi huko misituni. Kadri tunavyoendelea kujichanganya bila tahadhari na wanyama wa msituni tutaendelea kuja navyo kwenye jamii.
Sasa vinatengenezwa ndani ya maabara!

Na huo ujio wa Akili Unde (Artificial Intelligence) ndiko kunaweza kuwa balaa. Hata akina Musk wataweza kutengeneza vya kwao!
 
ndio cheka alf hiyo kamba unaweza kuitumia kuanikia nguo au kufanyia mazoezi ya kupunguza kilo😊
haijalishi. Uwe umeelewa au hukuelewa hilo ni shauri lako.
Hiyo taarifa uliyoweka hapo ni ya kuchekesha.
 
Virus wanaosababisha mafua ni 1000 times weaker than other virus kuwadhibiti ni kuboost your immune system tu mfano. Kula malimao, kupata usingizi wa kutosha na kunywa maji mengi
 
Nadhani mafua( common colds) yamekuwepo tangu kuwepo kwa binadamu.
Pamoja na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia, bado mpaka leo hakuna chanjo ya mafua.

Tatizo ni nini?

Tuchepuke kidogo siasa tupeane elimu juu ya mafua.
Common cold sio ugonjwa bali ni sign ya body immunity ku fight off infections.
 
Nasikia wazungu mafua huwa yanawaua! Au ni stori za mtaani tuu! 😊
Siyo wazungu tu hata sisi weusi kuna vifo vinavyotokana na flu. Mafua huua pale yanapompata mtu mwenye kinga dhaifu kwa sababu ya eg magonjwa au uzee. Hapa kwetu ni kuwa hatuna tabia ya kuchunguza vyanzo vya vifo na kuweka kumbukumbu.
 
Common cold sio ugonjwa bali ni sign ya body immunity ku fight off infections.
The common cold is a mild viral infection of your upper respiratory tract, mainly affecting your nose and throat. Over 200 different viruses can cause it, but rhinoviruses are the most common. Most people heal in 7 to 10 days without medical care
 
Hujawahi kusikia chanjo za 'flu' zinazotolewa kila mwaka kwenye msimu/majira maalum wakati hizo flu zinapotegemewa kushambulia?
Nakuacha kama unasema Flu na common colds ni synonymous! Kwaheri!
 
Back
Top Bottom