Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Mkuu unani let down, tu copy na kupaste katiba ya wenzetu?
Jamaa anaonyesha sisi hatuna tunachoweza! Ndo maana sheria ya ugaidi tumekopi kila kitu. Kwa kukubali joke yake ninakubaliana naye sisi tumekuwa vinala wa uchakachuaji.