Lets just COPY & PASTE katiba ya Kenya

Jamaa anaonyesha sisi hatuna tunachoweza! Ndo maana sheria ya ugaidi tumekopi kila kitu. Kwa kukubali joke yake ninakubaliana naye sisi tumekuwa vinala wa uchakachuaji.
Mkuu huu hapa ni ushahidi tosha na unathibitishwa na BMK.
Countries With The Highest Average IQ
Rank
Country
Average IQ
1
Hong Kong
107
2
South Korea
106
3
Japan
105
4
Taiwan
104
5
Singapore
103
6
Austria
102
6
Germany
102
6
Italy
102
6
Netherlands
102
10
Sweden
101
10
Switzerland
101
12
Belgium
100
12
China
100
12
New Zealand
100
12
United Kingdom
100
16
Hungary
99
16
Poland
99
16
Spain
99
19
Australia
98
19
Denmark
98
19
France
98
19
Mongolia
98
19
Norway
98
19
United States
98
25
Canada
97
25
Czech Republic
97
25
Finland
97
Countries With The Lowest Average IQ
1
Equatorial Guinea
59
2
Ethiopia
63
3
Sierra Leone
64
4
Democratic Republic of the Congo
65
5
Zimbabwe
66
5
Guinea
66
7
Nigeria
67
8
Ghana
71
9
Tanzania
72
9
Sudan
72
Source:- Statisticbrain.
 
Ok, I'll say it naona watu wanasita kulisema but to hell...

Because thats what we are good at. Mfano Tazama Anti- Terrorism laws zetu.Prof Issa Shivji alisema kuwa what we did ni COPY & PASTE ileee PATRIOT ACT ya U.S yaani tumecopy mpaka nukta na kadhalika.


Hili la katiba sioni matatizo yake na kama kuna marekebisho ni machache tuuu kukidhi
Constitution of Kenya - Wikipedia, the free encyclopedia
Tutapunguza gharama na pili as it is majority ya watu wanataka hii katiba mpya (EXCEPT MKONO na MWANSHERIA MKUU BWANA WEREMA...amabo wameenda on the record KUPINGA umuhimu wa Katiba mpya)

Katiba ya Kenya hii hapa:
http://www.tikenya.org/documents/final_draft_constitution2010.pdf


Sababu za WEREMA kukataa hiii katiba mpya ni nyingi lakini mojawapo alijua tutataka kama ya Kenya na kama ikipita, then kuna kipengele hiki kwenye katiba yao ambayo inasema kuwa NOT ONLY majaji wa Mahakama za Kenya itabidi wawe VETTED bali mpaka hao MAWAZIRI so this basically means rais na PM hawawezi kujifungia chumbani kupitia majina then watu mnatangaziwa tuuu....nooo Majina yazima yapitishwe ili kupatikane waadilifu!

Mkuu ni shidaa! No wonder Our country is rich yet is poor. Halafu hawa jamaa wanajiita wasomi. Hebu angalia hapo. Ni Tanzania pekee walio kopi na paste anti-terorism law. Ilikua kidogo tu tukubali na yale ya David Cameroon. Sa hizi ingekua kulana viboga kwa Mujibu wa Katiba.
 
Mada hii sasa ina umuhim wake. Maana tunge copy and paate tusingepoteza pesa na ygaro tulioletewa now
 
Back
Top Bottom