Hata Hip-Hop Ilipoanza ilikutana na vikwazo vingi sana na muziki huu ulisemekena haukuwa bora lakini miaka ilivyoenda ndio mambo yakabadilika na muziki ukazidi kuboreshwa. Bongo Flava ni Muziki unaokuwa kila siku, tena kwa hivi sasa si Bongo tu bali ndio Muziki maarufu sana hata kwa nchi jirani kama Kenya, Rwanda, Burundi, Uganda na hata baadhi ya sehemu za DRC Congo. Kila kitu kina mapungufu yake na hakuna ubaya kwenye kuchota utaalamu kutoka nchi nyingine.
Vijana wengi sana Tanzania wamejijenga na kujiajiri kimaisha kutokana na mafanikio ya muziki huu, nadhani kila mtu ana uhuru wa kusikiliza chochote anachopenda kama unaona Bongo Flava haikufai basi sikiliza aina nyingine ya muziki. Utakuta mtu anapiga madongo Bongo Flava lakini unakuta ndio huyo huyo anakuwa wa kwanza kusikiliza nyimbo kama Chicken Noodle Soup au Soulja Boy.

end of rant sasa nakaribisha watetezi wa huu upuuzi
[/SIZE][/B]
Bongo flava na Bongo hip hop...tofauti iko wapi?
Ukitaka kulalamikia genre kama genre usichukue mifano yake mibovu kabisa, chukua mifano yake mizuri kabisa ili ukimuua Elvis uwe hubakizi kitu katika Rock and Roll, au ukimuua Bob unakuwa hujabakisha kitu katika reggae.
Umeshawahi kusikiliza metaphors na similes za "Professor J"? Umeshawahi kusikiliza satire, sarcasm na wit za Wagosi? Umeshawahi kusikiliza delivery ya Saigon? Umeshawahi kusikiliza the almost cacophonic artful composition of that word smith and lyrics weaver known as Halfani? Umeshamsikiliza Solo Thang akikwambia "kuna marepa na marapper", ulimuelewa? Wewe unasikiliza "marepa" au "marapper"?
Nakubali kuna utumbo mwingi sana kwenye bongo flava (as in hip hop in general by the way) lakini huwezi kui-judge genre nzima kwa Dully Sykes ambaye yeye mwenyewe kashakwambia ni "mzee wa misifa" na siyo authentic hip hopper.Unasikiliza production za "Soundcrafters" unategemea vipi kusikia authentic Tanzanian hip hop.Sikiliza mitwango ya Mika Mwamba na Majani iliyoenda na watu wanaoeleweka kwenye mic, utaelewa kwa nini watu wanashabikia bongoflava.Tatizo ni kuwa kwa kila msanii mmoja wa kweli kuna wengine tisa wana jump on the bandwagon bila talent wala drive, wanatafuta fame na money.
Hayo matatizo unayoyaona kwenye bongoflava yapo mpaka kwenye hip hop na ukiikomalia bongoflava unaweza kuwa self hater au unasikiliza the wrong kind of bongoflava.