Let's Assume

Ikena

JF-Expert Member
Oct 24, 2007
553
393
Umeamka asubuhi, ukakuta binadamu wote duniani wamekufa au hawaonekani, na umebaki peke yako.
Redio na mawasiliano ya cmu hayafanyi kazi,kwani operators nao wame collapse.
Chakula na chochote unaweza pata kwani hakuna wa kukuzuia ukienda super market.
Inapita saa, siku wiki, huoni mtu.

Je na wewe utajiua au utaendelea kuponda raha kwa kula vizuri,kuangalia movie na kusikiliza miziki mikubwa?
 
Maisha yatakuwa magumu bila mwanamke, awepo mrembo mmoja wa kufarijiana naye. hukumbuki Mungu alichofanya wakati anaumba dunia?
 
Kwa hiyo utachukua kamba na kujitundika au?
 
Sio lazima mkuu, ndo mana wanafizikia na hata wachumi wana term inayoitwa "teteris peribus".

Teteris peribus seems a new term to me..au ndo joke yenyewe ..lol.

Ceteris peribus assumption inatumiwa nadhani ktk kuipima tukio kwa kutumia isolated test kwa kudhania kwa makusudikuwa hakuna factor ingine inayo-interfere tukio hilo.

Lakini mwisho wa siku lazima assumption iwe na matumizi..

Habari ndo hiyo.
 
Kuna aina nyingi za kazi, moja wapo ni 'mental jobs'.
Kitendo cha wewe kufikiri na kutoa jibu katika hii assumption au chemsha bongo ni some sot of mental job.
Kwa namna moja ama nyingine hii assumption itakua imefanya idle mind iamke au itumike, kungekua na kipimo cha kupima wear out ya brain, nadhani ingeonekana; si ndio ulikua unataka matumizi?
 
Aaah..basi bana ..
 
Aaah..basi bana ..

Umeniangusha sana mkuu,mie nilikuwa najua ubishi huu mpaka tunaamka,sasa wewe umeenda kukubali mepema hata mchana yenyewe haijawa sawasawa.Kwani GT siku hizi yuko wapi,maana jamaa yule anaweza akaamua kubishana na forums nzima na akashinda yeye.
 
Aaah..basi bana ..

Mkuu Mtindiowaubongo umeniangusha sana,mie nilikuwa najua ubishi huu leo tunakesha.Hivi ndo nilikuwa nakaa vizuri,kuja kucheki eti umekubali tena kirahisi rahisi tuu,sasa ndo nini?Kwani GT siku hizi yuko wapi,maana yule jamaa anaweza kubishana na forums nzima na akashinda(I'm joking)
 
Umeamka asubuhi, ukakuta binadamu wote duniani wamekufa au hawaonekani, na umebaki peke yako.
Redio na mawasiliano ya cmu hayafanyi kazi,kwani operators nao wame collapse.
Chakula na chochote unaweza pata kwani hakuna wa kukuzuia ukienda super market.
Inapita saa, siku wiki, huoni mtu.

Je na wewe utajiua au utaendelea kuponda raha kwa kula vizuri,kuangalia movie na kusikiliza miziki mikubwa?

Utopia mtupuuuuuuuuuuuuuuu!!!
 
Nadharia ya namna hii ni ngumu sana kufikirika na hata kama itatokea ni vigumu sana kuassume nini mtu utafanya.Yatakayoweza kufanyika ni yale tu yatakayokuwa yanawezekana kufanyika kwa wakati huo itakapotokea hali hiyo.
 
kama wote hawapo na nimebaki alone, ina maana Mungu ana makusudi na maisha yangu, so nitaendelea kuishi
 
Umeamka asubuhi, ukakuta binadamu wote duniani wamekufa au hawaonekani, na umebaki peke yako.
Redio na mawasiliano ya cmu hayafanyi kazi,kwani operators nao wame collapse.
Chakula na chochote unaweza pata kwani hakuna wa kukuzuia ukienda super market.
Inapita saa, siku wiki, huoni mtu.

Je na wewe utajiua au utaendelea kuponda raha kwa kula vizuri,kuangalia movie na kusikiliza miziki mikubwa?
Nadhani hata TANESCO hawatakuwepo, nani anaoperate huo umeme?:confused2:
 
umesema binadamu woote wamekufa au hawaonekani ssa ww unabaki kama nani?panya,mende,mjusi etc au ww si binadam?
 
nitatafuta mizoga ya EL na RA nitaichoma moto ili kulipiza kisasi kwa jinsi walivyo litafuna Taifa hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom