Leticia Nyerere (CHADEMA): Mitandao ya kijamii inatumika kutukana viongozi, wahusika wakamatwe!

Status
Not open for further replies.
Ila hii tabia ya kutukana sio nzuri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbunge wa chadema analalamikia watu kutukanwa kwenye mitandao ya kijami!!!!! Akimtolea mfano naibu spika! Hee! Aise! Sasa si angetoa mifano ya waliotukanwa , walivyotukana, aliewatukana na hatua walizochukuliwa hao anaosema wamekamatwa? Hata hivyo kutukana kwa ujumla wake si tabia ya kistaarabu.
Mkuu, si umesikia lakininaliposema kuwa kukosekana kwa sheria ya cyber crime ni tatizo. By the way yeye si polisi wa kutoa taarifa unayohitaji
 
Leticia Nyerere, mbunge wa viti maalum chadema akichangia bungeni hivi sasa amesema yeye ni mtaalamu wa teknolojia ya CYBER CRIME, anaitaka serikali iwakamate mara moja watumiaji wa mitandao ambao wanatumia muda wao mwingi kutukana watu, wakiwamo viongozi mbalimbali.. ametoa mfano wa matusi yaliyotumwa kwa naibu spika na spika.
Amesema wapo watu hivi sasa wapo ndani lakini hataki kuwataja majina kwa kosa la kuchafua watu mitandaoni.

Nyerere anasema nyie kutwa mnakesha kutukana watu tuuuuu, wakati huyo unayemtukana anadunda tu hata habadiliki, si uache ufanye kazi nyingine????

Anasema watu wapo tu wanaangalia bunge anatafuta leo amtukane nani, akatolea mfano wa watu kumtukana SITTA, naibu spika akasema yeye ni mhanga ametukanwa sana.

wana JF, MNALIONAJE HILI????????????
huyo anatakiwa afukuzwe uanacha na kuvuliwa ubunge haraka.
 
JE wabunge wanaotukana bungeni? nini mitandaoni? aanze na Serukamba...kudadadadadeki....
 
Huyu mama tokea ameanza kuongea mpaka anakaa alizungumzia swala la kutukanwa mitandaoni povu jingi lilimtoka utadhani kwimba alitumwa kuelezea mambo ya kutukanwa mitandaoni, huyu bibi mkubwa huwa simwelewagi nafikiri bado ukijani haujatoka ndani,

Wewe Kazi unafanya saa ngapi kutwa kuangalia Bunge?

i dont think if she z ok upstairs..............kwa hiyo kama yy ni mtaalamu wa cyber crime anataka ajira kwa siri kali?
 
Mbona wanaikomalia JF ambayo angalau ina rules zake za kuwashughulika watovu wa nidhamu wanaiacha Facebook ambayo yenyewe watu hutoa matusi ya nguoni na wameanika majina yao wazi.JF IDUMU.
 
Akiongea bungeni katika kumuunga mkono mchangia hoja leticia nyerere kuhusu matumizi mabaya ya mitandao...job ndugai naye akatoa moyoni yaliyomkumba kwenye mitandao.
Hajatukanwa bali ajirekebishe maana anayoambiwa kwenye mitandao ndiyo TASWIRA yake katika jamii ya wanamitandao!.
 
Hhsaha,
Mbona hasemi imemsaidia kiasi gani katika kuongoza bunge,
Juzi tu tumemsikia akisema amejifunza na hata rudia tena kutoa adhabu za kupuuzi kwa wabunge wa upinzani bungeni kwnai zinawazidishia umaarufu.
 
Mimi mbona sioni tusi lolote huku....au labda majina kama magamba, tusker dentistry wao wanaona ni matusi....
 
i dont think if she z ok upstairs..............kwa hiyo kama yy ni mtaalamu wa cyber crime anataka ajira kwa siri kali?
Why not labda unalako jambo mbona kaongea vizuri au wewe ndiye mtukanaji mbona umekwazika na hoja yake.
 
Uyu mama anatumika,kawatolea mfano ma'ccm mbona Dr.Slaa,Mbowe karibu kila siku wanatukanwa..
 
Binafsi nina masikitiko MAWILI na huyu Mama:
  1. Kutumia jina la Nyerere
  2. Kuwa mwanachama CHADEMA

1.Ulitaka atumie jina la baba ako?
2.Itikadi za chama ni maamuzi ya mtu binafsi,ulitaka awe CCM kama wewe.

MY TAKE;
Kwa mujibu wa itikadi zake za kichama,na kipande hicho cha hotuba yake amejidhalilisha kwa kujipendekeza CCM.
Atukanaye ana sababu,japo kimaadili haipendezi.
 
"Ndugai huw anajisikia sana napokaa kwenye kiti cha spika...huwaona wabunge wenzake kama watoto wadogo" (jamani haya nayo matusi?)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom