Leticia Nyerere (CHADEMA): Mitandao ya kijamii inatumika kutukana viongozi, wahusika wakamatwe!

Status
Not open for further replies.
Tukisema la ukwel huyu mbunge ndani ya chama chetu ni janga na ni mzigo ,uyu ndio alisema wanaume wapelekwe kwenye chuo cha kufundisha kutongoza ili kupunguza ngono zembe ni mbunge kilaza sana hana tofauti na Sophia simba
 
Kwa kuwa tu JF ilimuanika kuwa ana uraia wa marekani wakati ni Mbunge wa JMT, sambamba na ile mikesi lukuki aliyonayo huko Marekani kwake yeye hayo ni matusi!

Masikini jina la Nyerere......
 
Ajitazame kwanza mahali alipo. Bungeni kuna matusi makubwa kuliko anayoyahisi hapa JF!.
Hapa hakuna mtu aliyewahi kuambiwa F.UCK Y.OU, (especially kwenye jukwaa la siasa), ambapo Bungeni inatokea!
Na sisi tumedhalilishwa sana na Bunge, lakini tunadunda tu kudadadeki!
 
Akiongea bungeni katika kumuunga mkono mchangia hoja leticia nyerere kuhusu matumizi mabaya ya mitandao...job ndugai naye akatoa moyoni yaliyomkumba kwenye mitandao.
hivi kusema ukweli ni matusi?
 
kwahiyo anataka wote twende tukatukanie matusi bungeni kama yale ya juzi na mengine ya nyuma? Waache wanaotumia mitandao kufikisha ujumbe wao, maana viongozi wanakera.

huyu mama ameteleza kidogo.mbona bungeni matusi ni kama kazi.au hayasikii???matusi ya wabunge wa cuf waliomshushia wenje yanatisha.
 
Hajapendekeza JF ifungiwe? Kumbe akina mama Rwakatale, Nkamia etc wako wengine bungeni!

But the positive side is that wanazidi kui promote JF soon or later wabunge wote wa JMT Watakuwa wana JF
 
Ila kunaviongozi wengine wanaudhi sana unakuta unashindwa kuzuia hasira zako unaishia kumtusi bila kutarajia. ndiyo maana hata mtu akipigwa ban anaona sawa , ila kesha toa lake la moyoni. Mfano wiki iliyo pita unasikia kiongozi anasimama jukwaani anaanza kuwaambia wananchi kuwa kuna vyama vina taka kumwaga damu vina taka kuona nchi inaingia vitani. mtu kama huyo ukimtukana kunakosagani. watu wanaishiwa na sera wanaishia kuwatisha watanzania. siku hiyo nilitamani sana kufunguka ila nikaogopa hasira zangu nika zimalizia kwa mwanangu .
kuna watu wanaudhi, wanaudhi sana. sasa dawa yao iwe nini kama siyo &***(*$&%*()&&)*&)*)&%_""'.
Akiongea bungeni katika kumuunga mkono mchangia hoja leticia nyerere kuhusu matumizi mabaya ya mitandao...job ndugai naye akatoa moyoni yaliyomkumba kwenye mitandao.
 
Tatizo la Tanzania yetu Ukimwambia mtu ukweli unaambiwa umetukana au unachochea vurugu. Ukweli utabaki Ukweli na matusi yatabaki matusi. Huwezi kuambiwa ukweli ukasema umetukanwa. Facts.
Ndugai anaelendelea kudunda kwa sababu ya mfumo dhaifu, Facts.
 
Kwa akili ndogo tu!Wanaotukana hawana siraha nyingine,lengo ni kuwaumiza kama wangekuwa bunduki,bomu,vifaa vya kung'olea meno,kucha,macho wangewafanyia hicho viongoz hao,matusi yao yanaonyesha hasira au chuki kwa mambo wanayofanya viongozi hao!Wala si jambo la kujisifu kuwa eti nadunda,ni kujiuliza kwanini natukanwa?Hayo matusi yangekuwa risasi? Viongozi mjitathimini sio kuropoka bila kutakari kwanini natukanwa!Shukuruni leo mnatukanwa mtandaoni ambako ambao wanatumia ni wachache,wakibadili mpango mkakati sijui kama mtajisifu eti nadunda!
 
Kusema gesi haitoki ishakuwa matusi??Mbona sospeter muongo anatutukana sisi kila siku hatusemi kitu??Na wengine wamefikia hadi hatua ya kusema wanakuja kutukata mapembe,kwani sisi tumekuwa ng'ombe??Acha zako NDUGAI....
 
Kuna siku alisimama akakemea matusi ya pale Bungeni,kipi kimemsukuma kwenye mitandao na kwa nini atolee mfano viongozi wa ccm wakati viongozi wake na wabunge wenzake wa chadema wanatukanwa...
 
ndio haya tunayoyasema kila siku humu jf cdm mmeshika kwenye makali kwa sasa na me sisemi mjirekebishe manake tabia ya mtu haibadiliki sanasana mtandeleza unafiki tu VIVA CCM
 
Tukisema la ukwel huyu mbunge ndani ya chama chetu ni janga na ni mzigo ,uyu ndio alisema wanaume wapelekwe kwenye chuo cha kufundisha kutongoza ili kupunguza ngono zembe ni mbunge kilaza sana hana tofauti na Sophia simba

inatia shaka sana
mbunge wa chama makini kama CHADEMA anaona jambo la maana la kuzungumza ni kutukanwa kwa spika na naibu wake ambao hufurahia wapinzani wakitukanwa matusi ndani ya bunge na yamebaki kwenye hansard.....ndugai wala makinda hawajawahi kuwakemea wabunge watoa matusi wa CCM.....HUYU MAMA LETICIA ANAFAHAMU HILO?

kanuni ya kwanza nayotakiwa kufahamu ni kuwa ukitukana na wewe utatukanwa...jambo loote utakalotenda hapa duniaani utalipwa hapa hapa kwanza kabla ya kwenda popote pale...
 
Sasa anatakeje?anaruhuru matusi bungeni analalamikia matusi ya mtandaoni huyu jamaa bwabwa vp?
 
Ajitazame kwanza mahali alipo. Bungeni kuna matusi makubwa kuliko anayoyahisi hapa JF!.
Hapa hakuna mtu aliyewahi kuambiwa F.UCK Y.OU, (especially kwenye jukwaa la siasa), ambapo Bungeni inatokea!
Na sisi tumedhalilishwa sana na Bunge, lakini tunadunda tu kudadadeki!

Ha ha ha ha ha!!!! Mkuu umenifurahisha sana....Kwamba nyani haoni kundule!!
 
mbona wengine hawatukanwi? ukiona unatukanwa ujue kuna mahala unateleza inabidi ujitathmini.Uzuri wa humu jamvini matusi yake sio kama fb
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom