Leticia Nyerere (CHADEMA): Mitandao ya kijamii inatumika kutukana viongozi, wahusika wakamatwe!

Status
Not open for further replies.
Wakati mwingine mtu mzima ukiambiwa suruari yako imechanika matakoni alo huwa ni tusi wakati ni ukweli.
 
Angepata hata thetulth moja ya akili kama ya baba yake asingekuwa wa kuteuliwa
pia angekuwa anajua umuhimu wa mitandao ya kijamii.
 
Binafsi nina masikitiko MAWILI na huyu Mama:
  1. Kutumia jina la Nyerere
  2. Kuwa mwanachama CHADEMA

Halafu huyu mama si ndiye yule aliyewahi kusema "ni vyema serikali ikaanzisha vyuo vya kuwafundisha wanaume kutongoza ili kupunguza vitendo vya ubakaji"?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom