Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Let just be a friend !

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Safety last, Jun 8, 2011.

 1. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,222
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  "Let just be a friend"maana yake utapendwa baadaye au ndo uwe mshika pembe
   
 2. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 591
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Safety last:
  Sorry to say this but you do sound immature and childish! In your mind you seem to think kuukataa and/or kuususia huo urafiki unamkomoa muhusika, but my friend the loss is yours!!!!!!!!!!.............................................just an f.y.i I have seen some strong sustainable relationships, that started with the patners as nothing but just mere friends!!!
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 17,984
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Pole.
  sasa kama hayuko tayari
  au hana hisia za mapenzi lakini
  hata hivyo anawazo la wewe
  muwe marafiki tu wakawaida...
  we unataka akwambie vipi?

  na kitu kingine kama hujagundua
  weengi huanza kama marafiki na
  hufika mbali sana....
  asante..
   
 4. RR

  RR JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,654
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Tumia kiswahili, hii lugha uliotumia sio....
   
 5. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,595
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  In most cases, friendship btn she&he ends in love, but never love to friendship. Kama akikuambia anataka muwe marafiki wa kawaida just let it be as you dont know the colour of tommorow.
   
 6. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,272
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Nadhani ungetumia kiswahili ingependeza zaidi.... ni hilo tu!
   
 7. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,405
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tena mkianza na lets just be friends, basi mtafika mbali kweli!, kuliko mkianza moja kwa moja. amini usiamini
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,035
  Likes Received: 3,069
  Trophy Points: 280
  Lazima muanze kama marafiki kwanza. Hapo nadhani mtasomana tabia na madhaifu ya kila mmoja na mkiingia katika hatua hiyo nyingine nadhani mtadumu zaidi.
   
 9. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  1) You are in the waiting list
  2) You are observed
  3) For that time wewe ni mshika pembe
  4) e.t.c
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 42,532
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  Hivi pale katumia lugha gani?..........Namkumbuka sana Nyerere baba wa taifa..........
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 66,418
  Likes Received: 18,838
  Trophy Points: 280
  Unamkumbuka kwa lipi? Umahiri wake wa kutema yai kaa la Churchill?
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  kigirik
   
 13. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 1,831
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  hahahah...alikua ni noumer hata jamaa etu mkapa hawezi kupiga yai kama la jkn.....vp huyu wa sasa mzee wa msoga antema yai eeh?
   
 14. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kwani mlikuwa na uhusiano gani mwanzo, kama alikuwa mpenzi wako na sasa analeta habari za kuwa marafiki wa kawaida tu, hapo ni kubuti umepata na kama ni mtu tu haukuwa na mahusiano nae yoyote labda upendo unaweza kuibuka mbele ya safari vuta subira
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 62,026
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  Code:
  [COLOR="red"]"Let just be a friend"[/COLOR]maana yake utapendwa baadaye au ndo uwe mshika pembe
  Let just be a friend= let us just be friends?
   
 16. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  urafiki wa kawaida ujenga mahusiano imara,ila kama mlishakuwa wapenz then inakuja ilo swala,wewe chapa lapa
  :mwaaah:
   
 17. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mmekutana tu kwa bahati au mnafahamiana kwa mda?! Katika kesi nyingi za hivi, unatakiwa uwe ATM na si ajabu ukikubali unaelekea kuwa mshika pembe!!! Yakimharibikia huko unaweza kufikiriwa kupandishwa daraja! Yaani tamthilia tupu!
   
Loading...