King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
sasa kama mnabakana kuna mapenzi kweli hapo? naye mwanaume anajiskiaje kuwa na mahusiano ya hivyo na mkewe? kweli unapita proudly unasema 'there goes my wife?'. afadhali kuta zinaficha mambo,manake kuna watu wanapaswa wajidharau! bibi anakua kama katiwa super glue, cha kufia! hizo za kuwekewa chakula, sijui maji ya kuoga sio neno. ila hapo ndo kuna mtafaruku! well, tunarudi palepale, unachoruhusu ndicho utafanyiwa. nawaheshimu wamama wote wenye courage ya kuchukua maamuzi yao wenyewe!
Mamito yaani acha tu..............ukisikua kubakwa na mume ndio huko mpenzi. Una mihacra, kinyingo na bado akitaka unaambiwa ni haki yake. Mi nilishindwaga hapo mpenzi. Yaani hata 'bibi' kufunguka mh. Yaani mamii hapa unanifanya nianze kuangalia ulimwengu kwa jicho lingine. Nadhani utafiti unawezatoa majibu ya ajabu sana na tukashangaa!