TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

Tanzania is a prison this time around!

Kama wewe huoni tatizo heri yako ndugu yangu!

Kama kuna utawala tumeuweka madarakani utulinde na kusimamia kila kitu,then mambo mabaya yanatokea consistently ndani ya nchi,then ni state sponsored,aidha directly which is true au by their sheer neglect kutimiza mandate tuliyowapa!

Tanzania at the moment declared under totalitarian dictatorship,hii huwezi kubisha!

Sometimes uwe honest!
Wasiojulikana inatumika sana kisiasa na akili zangu haziendeshwi kisiasa bali ushahidi.
 
Hapa lazima kuna jambo linafukuta chini kwa chini. Ni kwanini atekwe wakati huu wa kuelekea uchaguzi....muda ambao pesa nyingi huchotwa ovyo kutoka BoT na kuelekezwa kwenye siasa? Kagoma kutoa fedha au nini? Yajayo yanasikitisha.
Wizara ya fedha ndio BOT? Tuache kuzusha zusha. Tueleze ukweli ili kila kitu kiwe bayana. haya mambo ya kuhisi, yanaweza kutotoa ukweli mzima wa kwanini yeye na sio boss wake.
Maana kama msaidizi anakwenda wakati mkuu wake yupo, haiingii akili ni sababu ya kugoma kutoa fedha
 
Awamu hii kama una mishe zako zinazokuingizia kipato ni vyema ukatulia, Mambo ya kujiingiza katika siasa mwisho wake ndio kama huu...

Kama huwezi kuisifia ni vyema ukaacha kujihusisha na siasa...

Apumzike kwa amani.

Akwelina hakujiingiza katika Siasa..mkuu
 
Back
Top Bottom