Jana katika ofisi ya Leopard Tours, mkurugenzi mkuu aliitisha mkutano wa ghafla kwa madereva utalii (guides) kwa ajili ya kuongea nao, ila kilicho tokea ni kwamba walipofika hapo wote walilazimishwa kuzima simu zao kisha akawaambia kinacho endelea kuhusu sakata zima la serikali kumfuatilia kuhusu Kodi.
Aliwaambia kuwa kama hizo serikali zilizopita zilimshindwa hii itamuwezea wapi, ndipo alipo waeleza ukweli hao guides kuwa yeye ndo kampuni pekee inayo lipa mshahara Mkubwa tena kwa DOLA za Kimarekani, so akaendelea kusema (Fazal) kuwa kama mtu anataka alipwe kiasi cha 150,000 anyooshe mkono hakuna aliye dhubutu, alipo uliza anae taka kuendelea kulipwa kwa DOLA walinyosha wote, aliwaambia kuwa itabidi wote kusaini mikataba mipya ambayo cha ajabu hakumruhusu hata mmoja kuisoma bali aliwaambia wasaini.
Kutokana na chanzo cha habari hii alisema alitupia jicho akaona kuwa mkataba ule ulikuwa na tarehe za nyuma sana miaka ya nyuma, alisita lakini kutokana na wenzake ambao ndo wanaoongoza kwa kulipwa mshahara Mkubwa yaani Harlequeen 1000 $ , Kitanga (1000 $ ) na Elias gadafi ( 650 $ ) kusaini wakiwa wa kwanza basi alilazimika kusaini, chanzo Chetu kikasema kuwa mr Fazal ( leopard tours) aliwaambia kuwa wiki hii watu wa TRA wanakuja kukagua ofisini kwake ndo maana amewaita kusaini usiku (saa tatu usiku) kwahiyo jana tarehe 25/1/2016 walisaini guides 25, na leo 26/1/2016 wamesaini guides 18, wote walioko safarini wanasubiriwa wakifika tu wasianishwe kabla ya serikali kufika ofisini, chanzo Chetu cha habari kikaendelea kusema kuwa Fazal aliyekuwa amesimama muda wote alijigamba kuwa mimi mtoto wa mjini hawaniwezi, wawaulize wanzao.
Akawaahidi kuwa TRA wakija wakiwauliza waseme kuwa wanalipwa 150,000 na mkataba wao walisaini siku nyingi, Mr Fazal akasema wamesha fanya mpango na mr Mmbaga kuenda NSSF na kuhamisha accounts za wafanyakazi wote wa leopard na kuwahamishia NHIF na aliwaahidi kuwa NSSF alikuwa anawalipia 15,000 kwa mwezi ila NHIF atawalipia asilimia 60, chanzo Chetu kina sema kuwa hakufurahishwa kabisa na hilo jambo ingawaje Harlqueen na Kitanga guides wenzetu walionekana muda wote kutuhimiza kuwa hakuna shida tusaini tu.
Kwahiyo baada ya hao guide kusaini waliondoka na kuelekea makwao, leo hao walio saini kulikuwa na chanzo chetu kingine tulivyo mpigia simu alisema kuwa anaoga kuongea na simu maana Leopard Tours( Fazal) amewaambia kuwa simu zote za wafanyakazi wake zinarekodiwa ametoa hela kwa kampuni za mitandao, kwa hiyo alisema chanzo Chetu kuwa hayuko tayari kupoteza kazi kwani hii ni January.
Tunaomba sana serikali yetu mtakapo kwenda hapo mfahamu kuwa amekwisha tengeneza mikataba mingine. Ili kukwepa Kodi. Na huu ndo mchezo wake hakika hili ni Jipu kubwa na mtumbuaji anatakiwa akae Mita Mia mbili maana linatoa harufu.
Majina yao hao guides ni ambao wamesha saini hiyo mikataba ni kama ifuatavyo:
Kitanga Zuberi, Jimmy Noshad, Francis mdoe , Salum Suleiman, Harlequeen, Mfinanga, Living Stone, Gandi, Filex Lyakurwa, Paul Uroki, Julius Lengaram, Mohamedi shabani, Mohamedi Bakari, Abel Seba, Mike mollel, Saidi Isamil, Daniel Shirima, eric Swai, na Husein Hassan wengine chanzo Chetu kinasema kuwa hakikuwajua majina yao ila kitatupatia badae.