Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

Nitaona haja ya kuwatetea nikiacha kuwaona baa na dada zetu mpaka usiku wamanane, nadhani hata owner wa tours arusha wanawalegezea mno.
Ukienda mto wa mbu utakuta dreva wa leopard tour wanakata Serengeti na shoti uku wakijiona wana dollar za kutosha, apo utakuta msululu wa Land cruiser za leopard tour.
Nenda jioni jion mpaka usiku wa manane pale karatu kabla ya kuelekea ndani ngorongoro utakuta hakuna parking yani gari kama 30 wanakula bia.
Huwa najiuliza ivi wenye tour companies wakoje mpaka gari zizagae kiasi iki uku usiku wa manane zinageuka gesti bubu?
Mleta mada ukifika arusha kabla ya kuingia mbuga ya wanyama sehemu ya mto wa mbu, ....nenda karatu baa zinazowika kama carnivore, jack pub , pub la mote uone fujo za hizi gari zikiwa baa.
Alaf dreva wenyewe wajeuri mpaka basi, yani kukuta amepaki barabarani ni kawaida tu....kuna siku nimekutana na leopard tour kaziba njia, nilivoomba kupita kwa kuwasha taa akawa hana time anapiga story, nilivojaribu kutafuta upenyo pemben kufika kwenye dirisha lake "alitukania kiungo cha uzazi" hasira zilipanda nkageuza GARI, kuona vile akaanza kukimbia nilimtoa mita mitaani karatu akazunguuka later tukatokea njia ya NBC karatu akaingia road spidi ya ajabu ...akapotelea kile kona ya mbulu, ana Bahati naingia road tu nkakutana na Lori, vinginevo ningemkata ulimi.
Kiukweli izi kampuni za tour pamoja na dreva wa dfp, ni wajeuri sana wakati maisha yao ya kawaida,
Mleta mada, wafunze kwanza how life goes kabla hujawaleta uku jf.
Bobby tour drivers wako smart ila ukikutana na wa leopard ww tafta njia nyingine.
Nimekuwa tarangire for long duration, nimeenda mara non countable trips, karatu pia mara nyingi, kwa life style ya Hawa madreva bado naona mwajiri wao hawabani na bado hajawa serious nao.
 
Mkuu Mimi nimewauliza kweli hawajawahi kughushi risiti? Maana haya mambo yapo ila mtu akikamatwa ndio anatafuta kujitetea. Wafanyakazi hatujawa na goal sawa na la owner wa kampuni. Wakati owner akifikiri kuimarisha kampuni na kupata ufanisi , wafanyakazi tuna personal goals ambazo ziko akilini mwetu. Pale muajiri anapogundua kutofautiana kwa goals tunalalamika. Tufanye kazi tikijua hela haitoshi na haitakaa itoshe. Hata ukipewa milioni 10 kwa mwezi bado hutakoma kuitafuta. So sulution ni kuwa waadilifu na kiridhika.
 
Inatakiwa tumpate mtu kama IDD AMIN nchi hii! natumaini wanajua kitu gani aliwafanyia kule Uganda!
 
Jirani umemsoma lakini Mrembo by Nature swali alilomuuliza Jembe afrika na jibu alilotoa......?
Sasa mimi naenda kumleta Fazal hapa aje aseme ilikuwaje.........maana ishu sio Leopard tu.........ngoja tuone.......
BTW........hakuna sticker mpya........ile ilichakaa nshatoa.........
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha Preta mambo yetu yaaale ya kutakatisha sio. Mlete mhindi nae aeleze upande wake na ikiwezekana aweke na picha za watuhumiwa.
 
Last edited by a moderator:
Jirani umemsoma lakini Mrembo by Nature swali alilomuuliza Jembe afrika na jibu alilotoa......?
Sasa mimi naenda kumleta Fazal hapa aje aseme ilikuwaje.........maana ishu sio Leopard tu.........ngoja tuone.......
BTW........hakuna sticker mpya........ile ilichakaa nshatoa.........

Kughushi risiti wameghushi, hilo halina kuuliza, na sio madereva wa leopard tu na wengine hata mtaani wanajisifia. Na ushahidi upo ndio maana vijana wametulia hawafanyi chochote. Wiki ya tatu sasa wanakusanywa nje ya ofisi 8am to 8 pm. Fazal anawapa jambajamba ya kutosha. Yaani JK angekuwa anaogopesha kama huyu mkurugenzi kusingekuwa na mambo ya escrow wala Epa tz mbwembwe zote za madereva hakuna tena, wengine hata weight imekata.
 
jembe afrika umeisoma hii comment?
 
Last edited by a moderator:
Fazal Mzee wakupiga watu vibao kisa anao wakumkingia kifua tutaelewana tu pindi ccm itakapotoka madarakani mwaka huu
 
Jirani umemsoma lakini Mrembo by Nature swali alilomuuliza Jembe afrika na jibu alilotoa......?
Sasa mimi naenda kumleta Fazal hapa aje aseme ilikuwaje.........maana ishu sio Leopard tu.........ngoja tuone.......
BTW........hakuna sticker mpya........ile ilichakaa nshatoa.........

we naeee
 
Si wanasemaga leopard tours ni ya lowassa embu mpelekee hili shtaka anaweza kulishughulikia
 
Kughushi risiti wameghushi, hilo halina kuuliza, na sio madereva wa leopard tu na wengine hata mtaani wanajisifia. Na ushahidi upo ndio maana vijana wametulia hawafanyi chochote. Wiki ya tatu sasa wanakusanywa nje ya ofisi 8am to 8 pm. Fazal anawapa jambajamba ya kutosha. Yaani JK angekuwa anaogopesha kama huyu mkurugenzi kusingekuwa na mambo ya escrow wala Epa tz mbwembwe zote za madereva hakuna tena, wengine hata weight imekata.

....na ma ---group yameanza kusepa !!!
 
Back
Top Bottom