Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

Nitaona haja ya kuwatetea nikiacha kuwaona baa na dada zetu mpaka usiku wamanane, nadhani hata owner wa tours arusha wanawalegezea mno.
Ukienda mto wa mbu utakuta dreva wa leopard tour wanakata Serengeti na shoti uku wakijiona wana dollar za kutosha, apo utakuta msululu wa Land cruiser za leopard tour.
Nenda jioni jion mpaka usiku wa manane pale karatu kabla ya kuelekea ndani ngorongoro utakuta hakuna parking yani gari kama 30 wanakula bia.
Huwa najiuliza ivi wenye tour companies wakoje mpaka gari zizagae kiasi iki uku usiku wa manane zinageuka gesti bubu?
Mleta mada ukifika arusha kabla ya kuingia mbuga ya wanyama sehemu ya mto wa mbu, ....nenda karatu baa zinazowika kama carnivore, jack pub , pub la mote uone fujo za hizi gari zikiwa baa.
Alaf dreva wenyewe wajeuri mpaka basi, yani kukuta amepaki barabarani ni kawaida tu....kuna siku nimekutana na leopard tour kaziba njia, nilivoomba kupita kwa kuwasha taa akawa hana time anapiga story, nilivojaribu kutafuta upenyo pemben kufika kwenye dirisha lake "alitukania kiungo cha uzazi" hasira zilipanda nkageuza GARI, kuona vile akaanza kukimbia nilimtoa mita mitaani karatu akazunguuka later tukatokea njia ya NBC karatu akaingia road spidi ya ajabu ...akapotelea kile kona ya mbulu, ana Bahati naingia road tu nkakutana na Lori, vinginevo ningemkata ulimi.
Kiukweli izi kampuni za tour pamoja na dreva wa dfp, ni wajeuri sana wakati maisha yao ya kawaida,
Mleta mada, wafunze kwanza how life goes kabla hujawaleta uku jf.
Bobby tour drivers wako smart ila ukikutana na wa leopard ww tafta njia nyingine.
Nimekuwa tarangire for long duration, nimeenda mara non countable trips, karatu pia mara nyingi, kwa life style ya Hawa madreva bado naona mwajiri wao hawabani na bado hajawa serious nao.

.....hapo kwenye Red ..wewe huna huna hela wacha kuloloma ...tuache tuchome doller zetu mnafikiri haya majani tunayaokota kirahisi rahisi ...wee subiri mshahara wa kibaba huko serikalini mki ambiwa mwandamane kudai haki zenu mnagwaya !!!!! Cho !!!
 
na ukizingatia wahamiaji wako ndutu

....sasa je halafu eti ni peleke vichwa kwenye mafuvu wakati mashi kubwa shamba La maharage limetema NYAMA !!!

Mkuu jembe afrika kuna mnoko mselikali analalamika hapo juu kuhusu Carnivore sport pub KRT nafikiri alikwenda na fedha za madafu pande ile akatupiliwa mbali...jamaa kavimba kweli humu jamvini !!!
 
Ni kweli kabisa madreva wa leopard tours ni vichomi yaani kwanza wanajisikia utafikiri wanalipwa milioni 10 kwa mwezi kumbe mshahara wao ni 150,000 Kwa mwezi sasa uwakute na hayo ma landcruiser yao wanajisikia utafikiri wako mbinguni vile nakumbuka 2004 nilikuwa serengeti ebwana eee hao jamaa walivyokuwa wanakuja utafikiri mabilionea wamekuja yaani madreva wa leopard wanasifa sana siyo vijana tu mpaka vidreva vizee vya leopard vinasifa,ila kuna madreva wastaarabu kama wa thompson safari aisee vijana wale wametulia na ile kampuni ni ya muamerika lakini hao leopard wacha wadosi wawape adabu japo siwapendi hao wadosi
 
.....hapo kwenye Red ..wewe huna huna hela wacha kuloloma ...tuache tuchome doller zetu mnafikiri haya majani tunayaokota kirahisi rahisi ...wee subiri mshahara wa kibaba huko serikalini mki ambiwa mwandamane kudai haki zenu mnagwaya !!!!! Cho !!!

Wacha uongo wewe utalii ulikuwa unalipa zamani siku hizi hamna kitu usitudanganye,madreva tours mishahara yenu ni sh150,000 kwa mwezi na mgeni akikuhurumia sana anakuachia tipu ya dola 10 tu tena siku ya mwisho unapomuacha uwanja wa ndege siku hizi kushinei na ndiyo maana mnapiga nyoka mafuta na kughushi risiti na kuchukua abiria njiani pindi mnaporudi mjini bila wageni wakati zamani mlikuwa mnatoa lifti siku hizi hamna cha lifti wala nini mnakula vichwa
 
Hahahahahahahaaaaaa ......maisha ni kutafuta na tusisahau kwenye kutafuta unatumia nguvu zote ata kukwapua ikiwezekana.

Wazungu wenyewe wamekua wabahiili kila kitu wanajifanya wanajua. Njia ipi utamsomesha akuelewe akutoe vizuri. Atakuchekea wee mwisho wa siku unaishia kuachwa na bahasha ya single kumi!!!!

Kilicho wapata hao ni ajali tu kama zingine na kufanya ivyo muhindi sio kwamba ndo atakomesha mianya ya kuibiwa watu ni wabunifuu sana kwenye utafutaji.

Tabia za kiuni, kuonga kwa kutaka kuonekana, ubabe, kujifanya wanazo na ulimbukeni wa kujiona wapo juu kwakua wanafanya kazi na wazungu sio guides wa Leopard tu ni asilimia kubwa sana ya ma guides na sio kwamba wana uwezo saana wengine kujitapa kwiingi nyumbani maisha ni zaidi ya kusema ya kawaida.

Fazal na baadhi ya waajiri wengine sio wema sana kwa staff wao, wana unyanyasaji kidogo kidogo na dharau pia. Bt stll ndio wanao ongoza kwa kutoa ajira.
 
Ni kweli kabisa madreva wa leopard tours ni vichomi yaani kwanza wanajisikia utafikiri wanalipwa milioni 10 kwa mwezi kumbe mshahara wao ni 150,000 Kwa mwezi sasa uwakute na hayo ma landcruiser yao wanajisikia utafikiri wako mbinguni vile nakumbuka 2004 nilikuwa serengeti ebwana eee hao jamaa walivyokuwa wanakuja utafikiri mabilionea wamekuja yaani madreva wa leopard wanasifa sana siyo vijana tu mpaka vidreva vizee vya leopard vinasifa,ila kuna madreva wastaarabu kama wa thompson safari aisee vijana wale wametulia na ile kampuni ni ya muamerika lakini hao leopard wacha wadosi wawape adabu japo siwapendi hao wadosi

....Hapo kwenye Red Hiyo kampuni nilishafanya longi sana hakuna kitu pale kampuni yangu nalipa madereva 700000 mpaka 800000 kwa mwezi .

Thomson safari kwa nje ni nzuri sana lakini ndani hovyo kabisa...
 
Wacha uongo wewe utalii ulikuwa unalipa zamani siku hizi hamna kitu usitudanganye,madreva tours mishahara yenu ni sh150,000 kwa mwezi na mgeni akikuhurumia sana anakuachia tipu ya dola 10 tu tena siku ya mwisho unapomuacha uwanja wa ndege siku hizi kushinei na ndiyo maana mnapiga nyoka mafuta na kughushi risiti na kuchukua abiria njiani pindi mnaporudi mjini bila wageni wakati zamani mlikuwa mnatoa lifti siku hizi hamna cha lifti wala nini mnakula vichwa

.....

....acha povu hii sekta ina hela zaidi ya Escrow !!!
 
...

....Huku iko hela asikwambie mtu !!!

[h=1]Tanzania tourism up as gold income falls[/h]Dar es Salaam. Gold, which was once Tanzania's largest foreign exchange earner, sustained a fall in the value of income from its exports as the mineral faces trouble in the world market.

The value of gold exports reached above $2.08 billion in the year ending October 2012, but the shipment decelerated to $1.75 billion in 2013 and stood at $1.35 billion in the year to October 2014, according to Bank of Tanzania (BoT).

The figure puts the mineral in the second largest foreign exchange recipient after travel (tourism) which has been increasing in the last few years.

Travel recorded $1.96 billion in the year to October 2014 up from $1.79 billion in the same period in 2013 and $1.62 billion in 2012, BoT's November Monthly Economic Review shows.

"Gold which has been dominant in the non-traditional export recorded a decline following a decrease in both volume and price," says the statement. The yellow metal has been trading below the 2013's close of above $1,200 per ounce in the world market and the trend has affected its income in Tanzania.

The total value of Tanzania's exports of goods and services was $8.6 billion, being 3.3 per cent higher compared with the amount that was recorded in the corresponding period in 2013. The development was attributed to good performance in exports of manufactured goods, fish and fish products as well as increase in travel and transport receipts, BoT says. Export of manufactured goods increased by 35.5 per cent to $1.37 billion with a notable increase recorded in edible oil, textile apparels, plastic goods, fertilizers and paper products. During the period, the value of traditional exports was $768.2 million compared with $841.7 million recorded in the year ending October 2013
 
....sasa je halafu eti ni peleke vichwa kwenye mafuvu wakati mashi kubwa shamba La maharage limetema NYAMA !!!

Mkuu jembe afrika kuna mnoko mselikali analalamika hapo juu kuhusu Carnivore sport pub KRT nafikiri alikwenda na fedha za madafu pande ile akatupiliwa mbali...jamaa kavimba kweli humu jamvini !!!
huyo ni kenge anaenda na vihela vya daladala marsh kubwa[karatu]wakija washika dau povu linamtoka je akienda
lamadi au mton kwa azizi ali aka marsh ndogo.
 
HOW LEOPARD TOURS IS TORMENTING HIS DRIVER GUIDES !!!! YOU MUST READ THIS PLEASE

Leopard tours Mr Fazal asema Serikali iko chini yake !! HAOGOPI MTU

WATANZANIA SOMENI HII INASIKITISHA INGAWAJE NI NDEFU SANA

-

MATAIRI MABOVU KUTOKA INDIA:

Tunasikitika sana kuona kuwa katika kampuni hii ya Leopard mwanzoni tulikuwa tukitumia matairi aina ya Yana na hapakuwa na tatizo lolote wakati mtu unaendesha gari na ukapata flat tyre hilo tairi lilikuwa haliaribiki maana unakuta mtu uko speed 80 kisha pancha sasa mpaka usimame inakuwa kuchukua muda kidogo, ila sasa workshop manager Mr Gulam na fundi mkuu Mr Regi ambao kwa faida yao na kamisheni -wanayo pata kutoka katika kampuni ya matairi ya MRF wameishauri kampuni na sasa wamebadilisha wametufungia matairi hayo Ya MRF kutoka india ya bei rahisi, kusema kweli tunapata shida sana maana ukipata pancha ukiwa katika speed yoyote kuanzia 50 hadi 80, mpaka usimame tayari tairi halifai limekwisha, cha ajabu unaambiwa wewe dereva wa hilo gari uwajibike kununua tairi mpya, halafu hapo hapo hilo tairi ambalo wametoa bovu workshop manager bwana Gulam anawarudishia kampuni ya matairi ili wampe lingine sasa jamani sisi tumeshalipishwa matairi mengi na cha kushangaza unakatwa laki nne kwenye mshahara wako bila hata kuandikiwa risiti yoyote wala kupewa muda wa kujitetea ajabu sana, na anaye kata hela hizi ni accountant anayeitwa Mr Mbaga huu ni unyanyasaji usioweza kuvumilika tena na muda sio mrefu tutampandisha kizimbani na tayari tumefungua kesi na muda wowote ataitwa mahakamani kujibu tuhuma na ushahidi tunao ambao tumepiga photocopy invoice zote ambazo watu wamelipishwa tokea kipindi cha nyuma huko.

Sasa tunajiuliza kuwa sisi madereva utaliii hapa leopard tours je tuna ubia na kampuni? Mbona hata hamna siku hata moja tumeshawahi kupewa bonus au kuitwa kugawana faida ya mwaka kama mtu una nunulia gari la kampuni vipuri? Tunastahili kupewa shares zetu haraka iwezekanavyo, kampuni hii inajiendesha kwa faida asilimia mia moja, bila hasara hata kidogo,kwani wear and tear zote tunazilipa sisi madereva utalii, -Hii ni sawa kisheria? Ingawaje tunajua kwa leopard tours hakuna sheria inayo weza kuwa juu yake kwa sababu ana pesa nyingi sana na hakuna mahakama inayoweza kushindana naye na mara nyingi hata ikitokea anayo kesi na dereva mara nyingi yeye Mr Fazal wa leopard tours ndiye anayetoa hukumu kwa nguvu ya pesa alizo nazo kuwa mtu huyu afungwe au aachiliwe au apewe mdhamana. Sasa tunajiuliza ni nani mwenye nguvu Leopard tours (Fazal ) au sheria /mahakama /polisi-?

Nashangaa sana Kwa kweli kuona yeye Mr Fazal amekuwa akitugandamiza kwa miaka mingi sana kwa kulipa matairi ambayo ni mabovu utafikiri tuna ubia na Leopard tours halafu kipindi chote hicho ametulipisha hakuna aliyetulipa sisi ila leo hii hii ishu ya olduvai imetokea kaamua kutukata mishahara yetu nusu nzima na kutulazimisha kusaini kitu ambacho hakiko-!!!

-

MASIKITISHO YETU KWA JESHI LA POLISI

Jamani kuna sheria gani ambayo inamruhusu polisi especially RPC na OC CID kushinda Leopard tours office na kuhamishia ofisi yao hapo leopard ??? tunajua mmepewa pesa ya kutosha polisi na Mr Fazal mpaka mnatumia cheo chenu vibaya badala ya kuwa upande wa wananchi mnakuwa upande wa wenye hela inasikitisha sana maana polisi wamejua kuwa huyu mr fazal wa leopard ni mfadhili wao mkuu sasa wanatumia hiki cheo chao cha polisi ccm kututesa kwa kweli tumechoka sasa polisi tunawaomba msimamie haki na sio kusimamia upande wa watu wenye pesa, maana mnatukera polisi mmekuwa ndio sababu ya watu kusaini na kukubali vitu visivyo kuwa kweli maana hatujawahi kuona polisi mkuu kama RPC ndani ya ofisi ya mtu binafsi eti ana meza yake na wanabunduki wanalazimisha watu kusaini mikataba ambayo wanajua ni maslahi yao.

Kusema kweli inasikitisha sana hatujui sheria inasemaje kwenye hili kama polisi wanaruhusiwa maana Mr Fazal akikuita ofisini mwake anaita na gari la polisi wanakuja na bunduki wanapaki hapo leopard tours ofisini, ukiambiwa usaini mahali hata kama utaki unabebwa na gari la polisi na Fazal wa leopard anatoa tu amri kuwa peleka ndani huyu mbwa akae huko mpaka nitakaposema yaana huyo fazal mhindi mpaka atakapo amua kumtoa na cha kusikitisha anasema wazi msimpe dhamana yoyote, yaani
 
...

...Mfatuteni Gwiji la Sheria Tundu Lisu kupitia Mbunge wenu G Lema hii kitu ndogo sana ila mkizubaa mtakuwa watumwa milele !!

...Dhambi kubwa na Mbaya kushinda zote Duniani ni uwoga by G LEMA
 
....

....akisikia Tundu Lisu anakuja huyo gabachori ataomba poo !!! sasa ninyi taka ita Lisu hapa najuwa ile mtu juwasheria sana sasa mimi samehe yote na ile iko gerezani mimi tuma mutu kwenda toa yote....
 
...

...Mfatuteni Gwiji la Sheria Tundu Lisu kupitia Mbunge wenu G Lema hii kitu ndogo sana ila mkizubaa mtakuwa watumwa milele !!

...Dhambi kubwa na Mbaya kushinda zote Duniani ni uwoga by G LEMA
Tayari ni watumwa kimawazo, kuondoka hapo wanaona nini?
 
Back
Top Bottom