Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
Ni ngumu sana kuwaunganisha watu wenye elimu na uelewa mdogo, Tour guides wengi wamejaa majungu na ni vigumu sana kuungana na kudai haki zao..
Yule anaeongoza kwa majungu ndie best driver, Leopard Drivers onesheni mfano kwakuwa na msimamo unaofanana!
.....BIGURUBE upo Mkuu unarusha mawe gizani !!!