Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

sasa utakuta wameajiriwa kiholela holela hawana hata mikataba

eeenh !! hapo sasa, Hao hupenda posho,marupurupu, Tips za watalii, allowances nk, ndo maana wa swahili husema hivi "baniani mbaya lakini kiatu chake dawa" yaani hawatulizani ukimwambia njoo usaini mkataba, anatoa sababu na visisngizio kibao !!
Jembe akrika
 
Last edited by a moderator:
KULALAMIKA TUUU !! Huu ugonjwa waTANZANIA ndiyo virus isiyotibika " kutwa tuna lalama yaani kuanzia ngazi za juu serikalini, mitaani, vijiweni,uwanjani, kazini, shuleni, mahospitali,Misikitini,kanisani !! sijui wapi " masaa 24 ukikutana na Mtanzania hata awe Rais Daima mnalalamika pppuuuuuuyyyufff !! jamaani hamujui kushukuru Mungu !!

Nchi imejaaliwa na kila aina ya Neema !! Tena nasema kila aina ya Neema kwa mtu mwenye Macho na bongo timamu ataona ukweli !!
Looh ugonjwa wetu mkubwa ni kulalamika, kumetufanya hata mbele yako huoni kitu !! Pole mkuu, na Poleeni waBongo...!

Mfano mdogo natanuliza samahani na muniwieradhi...Tazama Kenya !! tANZANIA INAISHINA KENYA KWA KILA ULIJUALO lakini bado siye ndo wanyonge, masikini na madhalili katika maendeleo ! pole wandugu zanguni....! Labda utapa mtetezi mvivu hapa !!
miss chagga Shy land

Zamiluni Zamiluni Kwa hiyo mimi na miss chagga ndio tunamgoza kulalamika,
 
Last edited by a moderator:
habari wajamvi,
kumetokea na sinto fahamu na kampuni hii ya wahindi na madere wake.
chanzo cha msuguano huu ni malipo ya makumbusho ya olduvai.anadai madereva wake
wanaletarisiti bandia lakin hiyos sababu.
mimi nionavyo huyu bwana anahalingumu tu ya kibiashara sasa anatafuta njia mbadala yakuzulumu
haki za madereva hao na mpaka sasa watatu wako ndani kisongo.
nafikiri hata hao madreva wenyewe hawana ushirikiano mzuri kiasi kwamba kila kukicha manyanyaso yanazidi.
mafuta shida,allowance mbovu.wahindi ni wanyanyasaji sana,washukuru nyerere hayupo.

Mkuu......simtetei Fazal........lakini hebu eleza vizuri.......nini hasa kimetokea.........?
 
habari wajamvi,
kumetokea na sinto fahamu na kampuni hii ya wahindi na madere wake.
chanzo cha msuguano huu ni malipo ya makumbusho ya olduvai.anadai madereva wake
wanaletarisiti bandia lakin hiyos sababu.
mimi nionavyo huyu bwana anahalingumu tu ya kibiashara sasa anatafuta njia mbadala yakuzulumu
haki za madereva hao na mpaka sasa watatu wako ndani kisongo.
nafikiri hata hao madreva wenyewe hawana ushirikiano mzuri kiasi kwamba kila kukicha manyanyaso yanazidi.
mafuta shida,allowance mbovu.wahindi ni wanyanyasaji sana,washukuru nyerere hayupo.

Huyu mmiliki wa hii ksmpuni nasikia huwa anatamba sana kuwa hakuwa wa kumfanya kity ndani ya serikali yetu. Anadai Lowassa ana hisa nyingi humo kwahiyo anafanya atakavyo yy!
 
washa kruza kula konaaa zima na simu, nenda chini ya mwembe pangua kila kitu uza kama spare..
 
...

LIVE update :

...Ile kampuni ina mikono ya Kigogo kutoka magamba kachukuwa chake kwaajili ya Kampeni sasa Kampuni imepwaya !!! Komaeni kikubwa daini chenu kampuni firisika !!!!
 
Si umtaje tu kuwa ni Edward? Unaogopa nn wakati inajulikana ana hisa 45%¿
 
habari wajamvi,
kumetokea na sinto fahamu na kampuni hii ya wahindi na madere wake.
chanzo cha msuguano huu ni malipo ya makumbusho ya olduvai.anadai madereva wake
wanaletarisiti bandia lakin hiyos sababu.
mimi nionavyo huyu bwana anahalingumu tu ya kibiashara sasa anatafuta njia mbadala yakuzulumu
haki za madereva hao na mpaka sasa watatu wako ndani kisongo.
nafikiri hata hao madreva wenyewe hawana ushirikiano mzuri kiasi kwamba kila kukicha manyanyaso yanazidi.
mafuta shida,allowance mbovu.wahindi ni wanyanyasaji sana,washukuru nyerere hayupo.

mara nyingine inabidi uwe mwajiri ili ujue matatizo ya wafanyakazi vinginevyo unaweza kuwaona waajiri wote ni wanyama.
 
Huyu mmiliki wa hii ksmpuni nasikia huwa anatamba sana kuwa hakuwa wa kumfanya kity ndani ya serikali yetu. Anadai Lowassa ana hisa nyingi humo kwahiyo anafanya atakavyo yy!
Nasikia Leopard Tours ni ya Lowassa huyo muhindi ni geresha.
 
Yeah mwenye hisa kubwa pale ni Edward L, inanyanyasa sana wafanyakazi kwa mgongo wa Lowassa hij kampuni, akishinda Urais sijuu itakuwaje!
 
mara nyingine inabidi uwe mwajiri ili ujue matatizo ya wafanyakazi vinginevyo unaweza kuwaona waajiri wote ni wanyama.

....Hawa madereva wa Leopard inabidi wapewe tuzo badara ya kufukuzwa Dakar Senegal cha mtoto !!!

Picha :hapa ni Malanja to Nabi gate Serengeti -Esbania back to Arusha then Namanga -- pic Namanga bac 2 Manyara....du hatare spinokodi zao labda ziwe za chuma !!!!

SH-Dakar-03.jpg
 
hahahhahahahaaaaa hiyo ni natron mkuu kona kumi na sita.
 
Back
Top Bottom