wee ndugu,MUNGU hana jina moja, ana majina MENGI MNOOOOOOOO! Hata ukimwita MMILIKI, hilo pia nia jina lake, Mwingi wa Rehema, Mwenye Nguvu, Bwana, ana majina mengi mnooooooooooooooooo! kubwa zaidi ni kuwa YUPO AMBAYE YUPO, . So kumshurutisha mtu ataje jina la MUNGU, kunaonesha jinsi gani upeo wako ulivomezwa na dhehebu lako! kwa mantiki hiyo nakushauri utafakari upya juu ya unavomfikiria Mwenyezi MUNGU. Mimi personally MUNGU ninayemuabudu jina lake namuita "Mwenyezi MUNGU". Ukitaka nikutajie sifa na mamlaka yake nenda quran 2:255. Sifa zake nyengine zapatikana kwenye biblia, ni yule ambaye YESU ALIMSUJUDIA!. Ni bwana wa majeshi
Kwenu Eiyer na Iron Lady.Unajua tofauti ya jina na sifa?
Ni kwanini binadamu tuna majina?
Kwenu Eiyer na Iron Lady.
YEHOVA ni Sifa au Jina?
Kama ni sifa ina maana gani?
Hizi ni sifa ambazo hata Lucifer anapewa na wafuasi wakekumjua jina hakutakufikisha peponi. Jua tu YEYE YUPO AMBAYE YUPO, MWENYE UHAI WA MILELE MWENYE KUSIMAMIA MAMBO YA VIUMBE HASHIKWI NA USINGIZI WALA KULALA, NI VYAKE PEKE YAKE VILIVYOPO MBINGUNI NA ARDHINI, ENZI YAKE IMEENENEA MBINGUNI NA ARDHINI, NI YEYE PEKEE ALIYE JUU NA ALIYE MKUU. Ukijua tu sifa zake hizo, huna haja ya kuanza kumjua jina lake. Kimsingi,ili uupate uzima wa milele,huhitaji kujua jina la Mwenyezi MUNGU, Bali uamini uwepo wa MUNGU mwenye sifa zilizotajwa hapo juu, kisha uamini kwamba kuna siku utafufuliwa na utahukumiwa,kisha tenda matendo mema,
Wakimuamini Mungu gani?"Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote
atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema
basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu
yao, wala hawatahuzunika" 2:62 quran
Kwanini unasema imani hii ni potofu?Kwa maana hiyo Imani ndio ya kwanza, then matendo. Imani potofu kama MUNGU KAFA, MUNGU KATESWA, MUNGU JINSIAGANI N.k. inaweza kufuta matendo mema yote yakawa ni batili mbele ya Mwenyezi MUNGU siku ya kiyama,
Hapana haitoshiAmini kwamba YEYE YUPO AMBAYE YUPO, MWENYE UHAI WA MILELE, NI MMOJA. Ukiamini hivyo inatosha kabisa.
Unatumia kipimo gani kujua kuwa wewe ni free?Mimi kama free mind person, ninasoma kurani na biblia, si kwa lengo la kupata mapungufu bali kupata hekima zilizomo humo.
Imani sahihi ndio njia kuu ya kukupeleka mahali salama,sasa ili uijue kuwa hiyo ni njia sahihi kuna mambo ya kufanya na mojawapo ni kumjua unaemuabudu na sio kwenda tuNilizaliwa katika familia ya kiislamu baadye Nikaanza kufata ukatoliki, baadye nikawa mlokole wa madhehebu ya TAG, Then nikarudi katka imani ya kwamba Mwenyezi MUNGU ni mmoja ni wa milele. Pamoja na yote qurani ndio huwa naitumia kuniongoza katika maisha yangu, Pia sipendi kusema dini hii wataenda peponi wale wataenda motoni, hakika dini haitakupeleka peponi(dini kwa mtizamo wa majina ya dini zetu e.g ukristo, uislamu, u-confusianism,u-budha) ila dini kwa mtizamo wa matendo yako na na imani juu ya sifa za MUNGU
Najua hakuna mkamilifu na ndio maana Mungu akatupa njia ya kujisafisha(mwenendo wako wa kila siku na imani) inaweza kukupeleka peponi au motoni.Dont forget, hakuna mkamilifu ila Mwenyezi MUNGU pekee.
Hizi ni sifa ambazo hata Lucifer anapewa na wafuasi wake
Je na yeye ni Mungu?
Kila mtu kwa imani yake anadai kuwa kile anachokiabudu ndicho chenye sifa hizi,ukisema kila chenya sifa au mwenye sifa hizo ndie muumbaji na anapaswa kuabudiwa utakuwa utatuingiza chaka
Wakimuamini Mungu gani?
Hivi unajua umuhimu wa kuamini?
Unajua maana ya kuamini?
Kwanini unasema imani hii ni potofu?
Kwani kuna jambo ambalo Mungu hawezi kulifanya?
Hapana haitoshi
Kuamini ni kitu kingine na kujua kuwa unaamini sahihi ni suala lingine,unawezaje kumuambia mtu aamini tu bila kujua kile anachokiamini?
Nilikuuliza sababu ya binadamu kuwa na majina bado hujajibu na kukosa majibu kwenye suala hilo ndio maana unaendelea kujiingiza kichakani tu
Unatumia kipimo gani kujua kuwa wewe ni free?
Kuwa free ni kufanya nini?
Imani sahihi ndio njia kuu ya kukupeleka mahali salama,sasa ili uijue kuwa hiyo ni njia sahihi kuna mambo ya kufanya na mojawapo ni kumjua unaemuabudu na sio kwenda tu
Najua hakuna mkamilifu na ndio maana Mungu akatupa njia ya kujisafisha
Bado hujaniambia kwanini binadamu tuna majina!
aisee Eliya, wewe MUNGU wako anaitwa nani?
Alafu hebu nikwambie jambo moja kuu ambalo huenda ukawa hujanisoma, Kitakachotofautisha kuabudu Mwenyezi MUNGU na kumuabudfu shetani ni matendo yako. Nasema hivo kwasababu wachamungu wa kweli wana sifa zo zilizojipambanua na ukweli wa nafsi zao, unaombatana na matendo. mfano,Utasema unamuabudu Mwenyezi MUNGU wa kweli, lakini matendo yako yatasema unamuabudu yupi kwani hayo hayakosei kitu, unakwenda nyumba ya ibada kila siku lakini ni mwizi, unawatendea ubaya wazazi, unauwa, mla rushwa, unawdharau walemavu, una wazini wake wa jamaa zako, mlawiti, mwongo ........... obviously wewe utakwenda kwa huyo mungu unaemuabudu ambaye ana tabia hizo, kwakuwa hizo ndio tabia zake basi na kwakuwa yeye ana nguvu kukushinda wewe maana ulishajisalimisha kwake sasa we ndio utaanza kulipa kwani atakufanyia hayohayo.
Kama unawatendea wazazi wema, unawajali kila kiumbe bila kudharau maumbile yao, si mlawiti, si mwongo, ................. hakika utakwenda kwa MUNGU mwenye sifa hizo. Nadhani umenisoma bro. Kama unadhani mti ndio umeumba dunia na kila kilichomo basi uabudu huo na huko kwa huo mti ndio yatakuwa marejeo yako halafu huo mti utasema nawe aidha ukubali kuwa wenyewe ni MUNGU MUUMBA wa kila kitu ama ukukatalie kuwa sivyo hivyo, Hapo utajua ukikataliwa na huo mti utakwenda wapi? Tafakari juu ya UUNGU inahitaji hekima kubwa sana, si mhemko wa nafsi, ama matamanio yako ama ya dhehebu lako kama unavolazimisha tutaje jina la MUNGU, Jina lake ni YUPO AMBAYE YUPO, Yeye mwenyewe husema "MIMI NIPO AMBAYE NIPO". Ahsante
Mimi sio Eliya bali ni Eiyeraisee Eliya, wewe MUNGU wako anaitwa nani?
Inawezekana hujui maana ya kuabuduAlafu hebu nikwambie jambo moja kuu ambalo huenda ukawa hujanisoma, Kitakachotofautisha kuabudu Mwenyezi MUNGU na kumuabudfu shetani ni matendo yako. Nasema hivo kwasababu wachamungu wa kweli wana sifa zo zilizojipambanua na ukweli wa nafsi zao, unaombatana na matendo. mfano,Utasema unamuabudu Mwenyezi MUNGU wa kweli, lakini matendo yako yatasema unamuabudu yupi kwani hayo hayakosei kitu, unakwenda nyumba ya ibada kila siku lakini ni mwizi, unawatendea ubaya wazazi, unauwa, mla rushwa, unawdharau walemavu, una wazini wake wa jamaa zako, mlawiti, mwongo ........... obviously wewe utakwenda kwa huyo mungu unaemuabudu ambaye ana tabia hizo, kwakuwa hizo ndio tabia zake basi na kwakuwa yeye ana nguvu kukushinda wewe maana ulishajisalimisha kwake sasa we ndio utaanza kulipa kwani atakufanyia hayohayo.
Kama unawatendea wazazi wema, unawajali kila kiumbe bila kudharau maumbile yao, si mlawiti, si mwongo, ................. hakika utakwenda kwa MUNGU mwenye sifa hizo. Nadhani umenisoma bro. Kama unadhani mti ndio umeumba dunia na kila kilichomo basi uabudu huo na huko kwa huo mti ndio yatakuwa marejeo yako halafu huo mti utasema nawe aidha ukubali kuwa wenyewe ni MUNGU MUUMBA wa kila kitu ama ukukatalie kuwa sivyo hivyo, Hapo utajua ukikataliwa na huo mti utakwenda wapi? Tafakari juu ya UUNGU inahitaji hekima kubwa sana, si mhemko wa nafsi, ama matamanio yako ama ya dhehebu lako kama unavolazimisha tutaje jina la MUNGU, Jina lake ni YUPO AMBAYE YUPO, Yeye mwenyewe husema "MIMI NIPO AMBAYE NIPO". Halafu kwa kukusaidia tu, ni kwamba MUNGU hatambuliwi kwa jina bali kwa sifa zake ambazo ndizo UTUKUFU WAKE. Sifa hizo ndizo walizofundisha manabii, hawakuwa busy kufundisha jina la MUNGU bali walifundisha sifa zake na nini cha kufanya ili hatimaye akakupokee katika himaya yake na kukupa yaliyo mema. Ukiniambia huyu mbuzi ni MUNGU, Mi nakuja namchinja halafu nakwmbia nimechinja MUNGU WAKO, haya kaumbaje dunia na vilivyomo kama yeye mwenyewe amechinjwa na ameliwa? Akili kichwani Mwako. Ahsante
Hivi mambo mema huwa ni kwaajili ya Mungu tu!
Je wanaoabudu shetani nao si kuna mambo hufanya kwa uyo mungu wao na wakahesabiwa kwamba ni mambo mema na matukufu kwa mungu wao.
Hivi ukitoa kafara kwa shetani si unafanya jambo jema? au me kuna mahali sielewi!
Msaada!
we jamaa huna fact yeyote hivi we umezaliwa tu umekuta wazazi wako wanasari may be ni wa kristo na we umekua mkristo na wangekua waislamu na we wenda ungekua muislamu tu...tatizo ukiwa sana pro na dini habari nyingine hutaki kusikia na unakua blind!...kama waafrika tulikua tuna abudu miti na milima...we unadhani ingekuaje kama hao wasingeleta dini zao huku? ungekua mkristo au....na umekua mkristo una imani gani kua hao waliokuletea dini wewe ni dini ya kweli? au waliitengeneza kwa manufaa yao binafsi?
Hivi mambo mema huwa ni kwaajili ya Mungu tu!
Je wanaoabudu shetani nao si kuna mambo hufanya kwa uyo mungu wao na wakahesabiwa kwamba ni mambo mema na matukufu kwa mungu wao.
Hivi ukitoa kafara kwa shetani si unafanya jambo jema? au me kuna mahali sielewi!
Msaada!
Before going any father,naomba unijibu swali langu hili
Hayo maandiko uliyaquote ili kusapoti madai yako umeyatoa kwenye Biblia gani?
Iliyochakachuliwa au ambayo haijachakachuliwa?
Ukinijibu hilo nitarudi kujibu hiyo mistari yako mmoja baada ya mwingine!
:A S 13:...........:suspicious:..................:der: iliyochakachuliwa au hajachakachuliwa !?😕..........Biblia Takatifu ipo ambayo imechakachuliwa !??
Hapana kaka, kwa hapa umechanganya kidogo! Ni kweli Leonardo Da Vinci ndiye mchoraji wa kwaza wa picha ya YESU na wanafunzi wake (the Last Supper), hata hivyo si yeye "Leonardo Da Vinci" aliyesema eti YESU alimwoa Mariamu Magdalene. Aliye sema hayo ni "Dan Brown" mwandishi "shoga" wa kimarekani, kwenye kitabu chake alichouza sana kiitwacho "The Da Vinci Code", yaani fumbo la Da Vinci! Dan Brown anajaribu kutafsiri ile picha ya "Karamu ya Mwisho" ambayo Yohana "mwanafunzi alipendwa sana na BWANA YESU" anaonekana kumlalia YESU kifuani, akidai kuwa aliyemlalia YESU hakuwa Yohana bali Mariamu Magdalene.
:A S 13:...........:suspicious:..................:der: iliyochakachuliwa au hajachakachuliwa !?😕..........Biblia Takatifu ipo ambayo imechakachuliwa !??
Yesu mwenyewe alisema kuwa hakuna lililofichwa ambalo halitafichuliwa halafu wewe unasema "yamefichwa" si kituko hiki?
Unasema kuwa Yesu alikuwa na sijui mahusiano,unajua Yesu ni nani ndugu?
Halafu yatafichwaje halafu wewe uyajue?
Tetete haya bwana ila mimi si brother am a lady
Kuadadeki........wachambuzi wa mambo wanahitimisha kwamba..walifuatilia maisha ya Yesu kristu, historia yake kuanzia kuzaliwa hadi kufa..wanadai kwamba kwa kifupi Lifestyle yake imeacha maswali mengi kuliko majibu ya maswali hayo......Who is real He? Still well known, others posit that,HE IS GOD..mgogoro mwingine tena huo...mimi chimo kabichain real sense kuna mengi wameyaficha kuhusu uhalisia wa maisha ya yesu ila hata mimi nakubaliana na leonardo da vinc na wengineo kua yesu alikua na mahusiano ya kimapenzi na maria magdalena pamoja na dem mwingine anaitwa elizabeth na ushahidi upo ingawa unafichwa fichwa
Kila Mungu ana tafsiri yake ya mema kwamaana kuwa na basis ya mema
Kuna mungu mwingine kuwauwa watu wa imani tofauti na yako ni mema
Kuna mwingine kumtolea kafara ni mema bila kuangalia hicho unachokitoa kafara ni kitu gani
Mwingine kusaidia wasiojiweza ni mema
Sasa akili kumkichwa kila mmoja kukagua kipi ni kipi!
unachotenda ndicho utatendewa, usimtendee mwenzako yale usiopenda kutendewa. Kwa mantiki hiyo, matendo mema ni yale ambayo utatamani utendewe. kama utatamani kufanyiwa ukatili basi fanya ukatili, kama unatoa basi utapewa! Kwa mantiki hiyo utahukumiwa kwa hayo uliyotenda yalikuwa na implication gani kwa wengine. Mwenyezi MUNGU anajua zaidi