Leo Wifi atajibeba...

Leo Wifi atajibeba...

Jamani sorry... Jana sikuwa na nafasi ya kuwarudishia feedback... Kifupi ni kwamba jana wifi amejibeba kweli kweli... Kaka yake alivyokuja nikamchana live kuwa nimechoka masimango ya ndugu zake nikampa ufunguo kwenda kufungua... Hamad! Uso kwa uso na dada yake ndani ya night dress yangu kajikunyata... Ameshakuwa mwekundu kwa kilio... Kaka yake akamuuliza alichokifuata chumbani kwake kitu gani? Mwanamke nikafunguka... Nikamchana vibaya huyo chaunabe... Brother kuona kimetibuka ikabidi amrudishe dada yake nyumbani kwao usiku huo huo... Ameomba msamaha... Najua ameenda kuwaambia wanoko wenzie ili wazidishe mashambulizi...
HAKI HUWA HAILILIWI INADAIWA!
ahaahahahahaha akawatumie salamu na wenzie!
SIPATI PICHA kifuatacho ITV baada ya kaka kutoka kurudisha dadaake nyumbani!
ehehhehhehe hii no need ofu feedback!
watu wana:yell: saaaaaana!!!!
 
mwe hii ngoma utaweza kuicheza ....?
 
Hii ngoma nagwa mpendwa... Nawamudu hao ndugu lawama...
 
HAKI HUWA HAILILIWI INADAIWA!
ahaahahahahaha akawatumie salamu na wenzie!
SIPATI PICHA kifuatacho ITV baada ya kaka kutoka kurudisha dadaake nyumbani!
ehehhehhehe hii no need ofu feedback!
watu wana:yell: saaaaaana!!!!

Unajua hawa mbwiga wananichukuliaga poa... Nnavyokaaga kimya wananionaga mi ----- nazi... Wamemwaga mboga na mi namwaga ugali... Sasa hivi hakuna maneno ni vitendo tu.
 
hapo itategemea na mumewe yukoje....kama mume anafwata mila na anamkuta dada yake chumbani anaweza kugeuziwa kibao mke......

Kapigiwa simu... Tunaitwa kwao kuna kikao.
 
Duuh!kuna watu mna waume wapole hadi raha!
Me huyu mkurya wangu si angenitoa maini!
 
hahahaaaaa!!hii kali kuliko lolz!!
wifi kapatikana na alale na kaka ake
kama anaweza nyoooooh zao!!
 
sasa litakalojiri kakake akija itabd pia utujuze .............................
 
Tena mpaka ajambe kama unavofanyaga ww kwa kk ake,anafikiri mimba ni kiberiti kila nyumba kipo.....teh teh...tuone kama atapata mimba.
 
Kwanza ni kupe pole kwa kukosa mtoto, japo hujaweka wazi kama imethibitika tatizo nilako au la. ulicho kifa kwa wifio, ni adhabu uliyoipanga na huenda ni mpango ulio ratibiwa na mtu mwingine lakini akakupa uutekeleze. naomba uelewe kuwa katika kutatua tatizo unaweza kusababisha tatizo jingine likawa kubwa kuliko la wali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom