mbele ya mke!
mmmh sipingani sana na wewe ingawa inategemea na mwanaume mwenyewe
mbele ya mke!
ukweli ndo huo zaidi ya asilimia 95mmmh sipingani sana na wewe ingawa inategemea na mwanaume mwenyewe
Hahahahahaha wakati mwingine tabia inavuta sana hasa tabia za wazazi ni wachache wanaojaaliwa kuwa tofauti nayo pia ni neema. So wazazi wana mchango mkubwa sana juu ya tabia za watoto, hatuwezi kukwepa hili. Mara nyingi tunajifunza kupitia matukio mbali mbali kwenye familia tunazokulia na ikumbukwe tabia mbaya ina nguvu sana. Ingawa kuna watoto wanalelewa vizuri na baadae wenyewe hukengeuka. Hata hivyo tumuombe mungu tu atusaidie kuwafundisha yalio mema watoto na hasa maisha ya mtu mweusi/mwafrica tuache huu uzungu. Ushauri wangu kwa mdadada huyu akae chini na kutafakari ajiulize swali moja tu je Yesu angekua nafac yake angefanyaje , kama ataona angefanya kama alivyofanya basi hana haja ya kujutia lkn akiona tofauti basi atubu na amuombe Mungu huruma yake.ni kweli dear ...mambo mengi tunajifunza toka kwa jamii inayotuzunguka! ila siku hizi dunia imepanuka kuna jinsi nyingi za kujifunza ..kuna mitandao kama hivi nk..ina maana kama wazazi wako ni walevi na wewe uwe mlevi kisa home kwenu walevi? yaani na kukua kwako hujafahamu kwamba hilo ni jambo baya! mi naona ukiwa mbaya ni wewe mwenyewe umependa bana!
kweli dear tulale zetu tumeshampa maoni yetu kwa uwezo wetu! maisha ni haya haya hata neno linasema tafuteni kuwa na amani na watu wote haijalishi ni wifi kakusema vibaya weweishi nae tu kwa amani! nikutakie usiku mwema dear ! kesho Mungu akitujalia ...usiku mwema love!Hahahahahaha wakati mwingine tabia inavuta sana hasa tabia za wazazi ni wachache wanaojaaliwa kuwa tofauti nayo pia ni neema. So wazazi wana mchango mkubwa sana juu ya tabia za watoto, hatuwezi kukwepa hili. Mara nyingi tunajifunza kupitia matukio mbali mbali kwenye familia tunazokulia na ikumbukwe tabia mbaya ina nguvu sana. Ingawa kuna watoto wanalelewa vizuri na baadae wenyewe hukengeuka. Hata hivyo tumuombe mungu tu atusaidie kuwafundisha yalio mema watoto na hasa maisha ya mtu mweusi/mwafrica tuache huu uzungu. Ushauri wangu kwa mdadada huyu akae chini na kutafakari ajiulize swali moja tu je Yesu angekua nafac yake angefanyaje , kama ataona angefanya kama alivyofanya basi hana haja ya kujutia lkn akiona tofauti basi atubu na amuombe Mungu huruma yake.
Wapendwa tumesuluishwa kwenye kikao kilichoitishwa kwao mume wangu... Haikuwa kazi rahisi lakini namshukuru Mungu tumeyamaliza na tumesameheana na tumekubaliana kuanza kurasa mpya na tusahau yaliyopita...
Mara nyingi unapoona mama mkwe au ndugu wengine kuleta fujo nyumbani kwako inategemea msimamo wa mwanaume kuna wanaume hawana msimamo yaani wao wanataka mke awe wa family hapo ndio penye shida. Hata neno la Mungu liko wazi kwamba mtawaacha wakwenu nanyi mtakua mwili mmoja. Sasa kuna wanaume huwa hawataki kuwaacha wakwao na kuambatana na wake zao tukumbuke huwezi kwenda kinyume na neon la Mungu. Ndugu wote wanatakiwa wabaki nafac ya wageni na si sehemu ya familia. Kama wifi akubali nafac yake ya mgeni lkn pia hatuwezi kubadili tabia zao daima tuishi nao kwa akili.Umeongea ukweli mtupu matatizo mengine yanayoletwa na ndugu wa Mume baadhi ya wanaume wanachangia wanashindwa kutofautisha familia zao walizotoka na familia ambazo za kwao mwenyewe. Kuishi na ndugu wa mume sio tatizo kama mtu atakaa na ndoa zikaendelea kuwa na amani lakini mawifi wengine wakija kukaa wao ndio mama mwenye Nyumba ugomvi hauishi ndoa zipo hatarini. Bora wasaidiwe wakiwa hukohuko kukaa nao pamoja hapana japokuwa kuna wengine wazuri ukiishi nao kunakuwa hakuna tofauti yoyote
hongereni.....ila jitahidi kutofanya maamuzi ukiwa na hasira......Wapendwa tumesuluishwa kwenye kikao kilichoitishwa kwao mume wangu... Haikuwa kazi rahisi lakini namshukuru Mungu tumeyamaliza na tumesameheana na tumekubaliana kuanza kurasa mpya na tusahau yaliyopita...
atamwambia kaka nakusubiri tuzae
Wapendwa tumesuluishwa kwenye kikao kilichoitishwa kwao mume wangu... Haikuwa kazi rahisi lakini namshukuru Mungu tumeyamaliza na tumesameheana na tumekubaliana kuanza kurasa mpya na tusahau yaliyopita...