Leo Wifi atajibeba...

Leo Wifi atajibeba...

Kwani wifi yako kaolewa ama amepata mtoto wa majaribio??? Umemtukana lakini uje shauri yako!!
 
Leo atajibeba... Nimemchoka nimechoka wifi yangu na maneno yake ya kunisakama eti sizai... Najaza choo wakati ndoa yenyewe hata mwaka mmoja bado... Leo kaingia choo cha kiume... Nimemkaribisha chumbani nimemfungulia bafu la chumbani kwangu ameoga, nimempa taulo langu amejifutia,kila kitu nimeshea nae kila kitu changu na night dress yangu nimempa amevaa... Sasa nimemfungia chumbani kwangu... Nimemwambia tumeshea kila kitu sasa na mume wangu anakuja yupo njiani na yeye tushee... Ye si anaona mi nafaidi... Alale na kaka yake apate mimba kama anaona mie nimeshindwa...

kwa hiyo hili kwako ndio suluhu la matatizo yako?
shigongo at work.
 
Ku.to.bwa hakuna featuring bibie shaurirooo
 
he he utajibeba wewe na dadako ha ha ha
yani hapa mke anaweza kujiweka yey mwenyewe matatani.....badala ya kutatua tatizo ndo anaongeza tatizo kwa mumewe......yani hapo ukiangalia amemtukana mumewe.......yani mumewe alale na dada yake.........
 
kaja kutucheksha tu mleta nasi tufurahi yaishe haina haja ya povu
wait kwanza yukwapi?au ndo yuko kwa 3some?
 
kaja kutucheksha tu mleta nasi tufurahi yaishe haina haja ya povu
wait kwanza yukwapi?au ndo yuko kwa 3some?
kumbe....mim nilidhani yuko serious....haya bwana ngoja niendelee na castle light zangu....
 
ahahhahahhahahahhahahahahhaaaaaaaaaaaaa
we Vannele hebu lete feedback
mume wenu hajarudi tu mpka sa hz?
YANI NIMECHEKAJE KWA SAUTI!?
hadi nimeona aibu!
 
Last edited by a moderator:
yani hapa mke anaweza kujiweka yey mwenyewe matatani.....badala ya kutatua tatizo ndo anaongeza tatizo kwa mumewe......yani hapo ukiangalia amemtukana mumewe.......yani mumewe alale na dada yake.........

wala hajatengeneza tatizo.... ila ametuma ujumbe indirect kuwa wifi ni majanga!!
 
Leo atajibeba... Nimemchoka nimechoka wifi yangu na maneno yake ya kunisakama eti sizai... Najaza choo wakati ndoa yenyewe hata mwaka mmoja bado... Leo kaingia choo cha kiume... Nimemkaribisha chumbani nimemfungulia bafu la chumbani kwangu ameoga, nimempa taulo langu amejifutia,kila kitu nimeshea nae kila kitu changu na night dress yangu nimempa amevaa... Sasa nimemfungia chumbani kwangu... Nimemwambia tumeshea kila kitu sasa na mume wangu anakuja yupo njiani na yeye tushee... Ye si anaona mi nafaidi... Alale na kaka yake apate mimba kama anaona mie nimeshindwa...

kuolewa uolewe wewe, mishe mishe za kitandani uzipate wewe... mtoto adai yeye..!!!!!
majanga!!!
.............oohhhh majanga!!!
 
Hahahahhaaha!si ya kuchekesha ila ndio ivo tena nimejikuta nacheka tu

Back to topic,Punguza hasira ulichafanya wala sina uhakika km itatatua tatizo,hizo ndio changamoto za ndoa usiruhusu chura akuzuie tembo kunywa maji hayo ni maisha yako na mumeo as long as mmeo hana shida mpotezee huyo wifi atakutia wazim utaharibi ndoa yako.
 
Hivi bado kuna watu wanahesabu siku lini wifi atawazalia mtoto?

Kazi sana...

Hizi mila potofu hizi...princess wa japan alipatwa na depression kwa kupewa pressure ya kuwazalia wajapani mtoto wa kiume...ana mtoto mmoja wa kike...dada nusu awe crazy...sikutegemea kabisa kitu kama baby boy kiwe discussion nchi nzima, nini wifi

Hivyo hizi mila ziko mahali pengi duniani.
 
kaja kutucheksha tu mleta nasi tufurahi yaishe haina haja ya povu
wait kwanza yukwapi?au ndo yuko kwa 3some?
amu, avater hii mweh mweh mweh!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani sorry... Jana sikuwa na nafasi ya kuwarudishia feedback... Kifupi ni kwamba jana wifi amejibeba kweli kweli... Kaka yake alivyokuja nikamchana live kuwa nimechoka masimango ya ndugu zake nikampa ufunguo kwenda kufungua... Hamad! Uso kwa uso na dada yake ndani ya night dress yangu kajikunyata... Ameshakuwa mwekundu kwa kilio... Kaka yake akamuuliza alichokifuata chumbani kwake kitu gani? Mwanamke nikafunguka... Nikamchana vibaya huyo chaunabe... Brother kuona kimetibuka ikabidi amrudishe dada yake nyumbani kwao usiku huo huo... Ameomba msamaha... Najua ameenda kuwaambia wanoko wenzie ili wazidishe mashambulizi...
 
wala hajatengeneza tatizo.... ila ametuma ujumbe indirect kuwa wifi ni majanga!!
hapo itategemea na mumewe yukoje....kama mume anafwata mila na anamkuta dada yake chumbani anaweza kugeuziwa kibao mke......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom