Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,918
- 7,055
Asante ngoja nikumbuke🤔🤔😅😅Sema najitolea nitakupa
Asante ngoja nikumbuke🤔🤔😅😅Sema najitolea nitakupa
Sawa Mkuu ila next time ukiwekaDu! Nimesha weka ktambo nadhan xaiz ime expire ile code
Hapo kwenye kuweka namba sasa 😅😅😅😅Hahah 😀
weka namba utumiwe
Poa nasubiri ukumbuke alafu uniambieAsante ngoja nikumbuke🤔🤔😅😅
Nishamjua 😹😹Kumchamba m2 fidodido hadi alie. Lol
😂😂😂😂😂
Ila wewe sasa si uache hiyo michezo usipoteze miguvu zaidiUshauri wako nimeupenda bure, hii miguvu naona inafaidisha watu ambao hawanithamini, wanataka tu niwafikishe watakako.
😅😂🤣🤣Hii nchi hii
Ina watu wa...😅😂🤣🤣
Hii nchi imefanya nini mkuu
HovyoIna watu wa...
SanaHovyo
They have best Pizza there! I go there oftenly.Nina ham ya kula Pizza ya pale Pizzeria Dodoma, alafu iwekewe Chizz nyingi nipate na black Vinegar....😋
mmh hamna bhn inawezekanaMkuu hii ni ndoto ya alinacha! Hili dude lilishatukaba!
lakn bao linatoka kweny ndoto nyevuni sawa na ndoto nyevu
Mkuu wale ni wazuri sanaNilipitaga pale airport yao aisee...kila dury free shop ukiingia unasema mbona huyu mzuri kuliko yule wa suka nililotoka 🤣🤣🤣🤣🤣
Kudenga?Nna hamu na
1. Kande.
2. Pure.
3. Nkhokoro
4. Kibulu.
5. Kishumba.
6. kudenga.
🤣🤣🤣🤣 🖐🤚 🖐🤚haha me sina baya ningekuwa tajiri ningejiita Tajiri Sinabay a