Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,360
- 91,912
Sawa,hata hivyo nimeacha mbonaEndapo utaacha kua na joto la kudinywa Kila mara yes ndoto zako zitatimia...
Sawa,hata hivyo nimeacha mbonaEndapo utaacha kua na joto la kudinywa Kila mara yes ndoto zako zitatimia...
Ushauri wako nimeupenda bure, hii miguvu naona inafaidisha watu ambao hawanithamini, wanataka tu niwafikishe watakako.Hiyo miguvu itumie vizuri, tumia kinga au pima afya mara kwa mara na wenzi wako, yangu ni hayo
Nipe code mzeeNina hamu ya kula mkeka mwingine
Labda uing'oe... Au uishone kama wasomali...Sawa,hata hivyo nimeacha mbona
🤣🤣🤣 Huyo ni kijana mdogo...kuelewa bado sana...labda mpaka anifume livePole kwa kutoa code...
Yeah sure, majukumu yameniandamaLabda uing'oe... Au uishone kama wasomali...
Ni vyema lakini...
Akufume ukifanya nini live...🤣🤣🤣 Huyo ni kijana mdogo...kuelewa bado sana...labda mpaka anifume live
Hii nchi hiiHamu yangu ni To see you get banned and your thread deleted ili kukomesha threads za kipuuzi kama hizi.
#El puto Amo!
Nikikasirika na kupayukapayuka😓Akufume ukifanya nini live...
Weka video kwa faida ya members...
Wale watu wenye gere kama nyegere..Hii nchi hii
🙄hahaha kwamba
Umenyooka mkuu njoo pm uokote!!!Wale watu wenye gere kama nyegere..
Ni kula na kulala tu Mkuu!anhaa dah! hata nishasahau
Mtupe na sisi hzo hamuSawa,hata hivyo nimeacha mbona
Kwani unafanyaga hivyo...Nikikasirika na kupayukapayuka😓
Hawa watu tupambane nao maana wanataka kutupanda kichwaniUmenyooka mkuu njoo pm uokote!!!
Hehehe!!!Hawa watu tupambane nao maana wanataka kutupanda kichwani