secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,361
- 28,723
Lazima niache, hakuna faidi ninayoipata.Ila wewe sasa si uache hiyo michezo usipoteze miguvu zaidi
Lazima niache, hakuna faidi ninayoipata.Ila wewe sasa si uache hiyo michezo usipoteze miguvu zaidi
Hahhhaasema tu hahaha, MC naomba umpe mic dadaetu Leejay ana jambo lake
Haya mambo yamenishindaga kabisa sionagi utamu wa hiyo minganoNina ham ya kula Pizza ya pale Pizzeria Dodoma, alafu iwekewe Chizz nyingi nipate na black Vinegar....😋
Nafanyaga mengine ya kula bata mzingawe mambo mengi yamekushinda(ga), unafanya(ga) nini?
🙂
Nikikualika utapanda SGR jirani?jirani una mambo haha, mbona hujanialika leo naitwa AbdulNomaziz Ibn Awadh
😀
Naona mnafungulia kila kitu leoHamu ya kulomba 😂😂😂
Naona mnafungulia kila kitu leoHamu ya kulomba 😂😂😂
Basi upae na ungo ili uwahi😁😁Upo Dodoma kwani?! hio sipandi yana tabia ya kuzima njiani 🙂
Ukienda VETA utafundishwa jiraniHahahaha
😀 😀 😀
ungo tena jirani! hebu nifundishe kuutumia niwahi
Si ndiyo😁😁hahaha dah! Darasa la 10 au sio
Ndio umeshasema sasa, mpigie huyo kijana umchane live kuwa unataka kuwekwa🤣Ngoja nikae kimya maana nikisema kunjunjana ntaonekana mzinzi😒