Leo twende porini

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,791
Salamu ziwafikie wale walioenda Tarangire Dec 2010......

ATT1738403.JPG ATT1738404.JPG ATT1738405.JPG ATT1738406.JPG ATT1738407.JPG ATT1738408.JPG ATT1738409.JPG
 
aisee! najiuliza driver angetoka nduki kwa style ya zigzag? sasa na wao baby walker ya nini porini?kha!
 
sasa ndio nimeamini huyu mnyama hafai, juzi tupo mikumi saa mbili usiku tukakuta gari dogo inarudi reverse kwa kasi bado kidogo atugonge kama si jitihata za dereva kupiga honi continous na kuwasha taa zote, kumbe jamaa alikaa mwisho wa daraja katikati karibu kabisa na mwisho wa hifadhi upande wa MG. Sisi tulipofika tukamsubiri kama dk3 ndio akasogea pembeni akibamiza masikio yake sijui ndio hasira au ilikuwaje. Yaani...
 
Oh God! Nadhani ningezimia siku tatu! I heard hawa wanyama wana hasira sana and maajabu ni kwamba wana mbio sana eti wakati they are SO HUGE..
 
Oh God! Nadhani ningezimia siku tatu! I heard hawa wanyama wana hasira sana and maajabu ni kwamba wana mbio sana eti wakati they are SO HUGE..

na kibaya zaidi hana kishindo...pamoja na umbo lake......
 
...Daah. Walimchokoza nini??!!
Mr Tembo akaona awashikishe Adabu. Alaaaaahh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom