Leo twende porini

Leo twende porini

uwiiiiiiii, walimchokoza huyu! labda walimpigia mahoni?

Wakati mwingine tujaribu kujifunza tabia za wanyama kabla hatujaenda kwenye himaya yao- huyu alitakiwa apigiwe honi au filimbi nonstop, yeye angesepa.

Maeneo kama hayo yanafaa kwenda panya wengi kwenye gunia, mkiona tembo anawafuata mnawaachia kuelekea aliko, anageuza mwenyewe.

nadhani walifanya zaidi ya hayo....
..nadhani dereva hakuwa jasiri....uzuri wa huyo mnyama hana mbio za kutisha so laiti huyo dereve angekuwa na guts ilikuwa ni suala la kupiga norinda na honi nyingi kisha anatimua vumbi....huenda nae ndio alishikwa na uharo!!

Naona Kaipenda
Salamu ziwafikie wale walioenda Tarangire Dec 2010......

Preta, tueleze, hivi kweli hukupata siku zako kabla ya siku yenyewe?!

wooooooo
Preta niambie tu hukuwa kwenye hilo gari .....

Preta, tueleze, hivi kweli hukupata siku zako kabla ya siku yenyewe?!

hapo zaidi ya siku......mtu unaingia kwenye week kabisa......

umefika I hope......

Yeah! Papo poa sana! Tena kwa sasa usipime!

Yeah! Papo poa sana! Tena kwa sasa usipime!

thats cool.....ulifanikiwa kumuona huyu...?.......
images

sikuwepo my dear.....huko porini ukienda na baby walker ni hatari sana......

hahahahah loohhh
itabidi uachie pram na mtoto umsimamishe tembo duuhh
(I can't imagine that ) nta babysitting next time ukitaka kwenda..🙂

Hawa ndude acha nao kabisa akiamua kukufanyizia ni habari nyingine tena hao wanabahati wangezikwa pamoja na gari lao.

Similar Discussions

Back
Top Bottom