Leo TANESCO mmetuweza

Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,593
2,000
Muda huu,maeneo ya Ubungo,Survey na Sinza Dar es Salaam hayana umeme. Kuanzia saa kumi jioni,umeme umekatika mara tano. Leo mmetuweza.

Huko mlipo vp?
 

Othmorine

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
694
1,000
Huku chang'ombe tmk hadi tandika ni mwendo wa majenereta tu kaka tangu asbh
 

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
1,011
1,500
Hawa TANESCO kwa neno moja ni......! Mi staki kutoa hasira zangu mbichi wakereketwa nisaidieni kumalizia!
Since 0630 to 2048 and still in blackout!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom