bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Leo si ndio ile tarehe 14 walosema?
Hapa Unguja leo ni washa zima washa zima toka asubuhi, ila nausubiri kwa hamu sana huo umeme wa gesi.
Yaan Leo nimezunguka Kariakoo, mwenge, Tabata, magomeni, maeneo ya chuo natafuta umeme nikamilishe ishu flani hivi lakini kooote huko holaa.., Tanesco wamenitesa na kunitia hasara kubwa Sana Leo.., nafanya mawasiliano na mwanasheria kwa ushauri zaidi