Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,234
Karibu Mkuu Utumishi aliahidi Kuwa Leo tarehe 10/5/2017 yatatolewa Majina Mengine ya wahalifu/wataalam wa Kutengeneza vyeti stationery.
Orodha ya Leo itahusisha Taasis, Idara na Mashirika ya Umma.
Nawaomba mawakili Wasomi tuisapoti Serikali kwa hili Wengi ni wamekaribia kuwa Pensioners gharama ya Pension ya kuwapa wahalifu ni kubwa Kuliko kuajiri wapya. Get rid of them.
Stay tuned!!!!!!!!!!!!!!