Anafikiri pombe ni kama azam juice unaacha kirahisi tuMikwara ukimaliza wiki tatu nipo pale
Eti pombe imemtia aibuUsijipe umuhimu kwenye maisha ya watu, ishi maisha yako; maisha mafupi, muhimu isikuathiri afya ya mwili.
Sio kazi rahisi, milioni moja tu ikiingia kwa account huyoooo viti virefuAnafikiri pombe ni kama azam juice unaacha kirahisi tu
Itakuwa imemfilisiEti pombe imemtia aibu
Sasa hizo ni tamaa zake tu wala sio pombe, pombe ipo toka kale mtu kazaliwa 2003 tu leo aje alaumu pombe🤔Itakuwa imemfilisi
Labda alimpiga mkwara bosi wakeSasa hizo ni tamaa zake tu wala sio pombe, pombe ipo toka kale mtu kazaliwa 2003 tu leo aje alaumu pombe🤔
Aseme kumradhi nililewa boss , hata sheria inatambua habari za kulanduka sio poaLabda alimpiga mkwara bosi wake
Itategemea na uelewa mpana wa bosi wakeAseme kumradhi nililewa boss , hata sheria inatambua habari za kulanduka sio poa
Kunywa juice ya embe ma nzi yakufuateKila baada ya wiki 2 huo natoa tangazo la kuacha pombe Kwa marafiki zangu...hapa nimeshatoka kazini nawaza sijui ninywe nini!?