Leo rasmi naacha pombe, imenidhalilisha tena

Leo rasmi naacha pombe, imenidhalilisha tena

Siyo rahisi sana
Sikutegemea kama ningeweza kuacha ila nimeweza.
Nashukuru kwa hapa nilipo
 
Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani,

Tutaonana wakati mwingine
Kamanda usiondokee chamani...iyo ni ajari tu kazini...
 
Ila pesa inatumika ovyo au sio,waweza usinunue chakula cha familia yako kwa ajili ya pombe,,ujawahi kuona au kusikia kwa wengine sheikh??
Ukiona mtu anakunywa pombe na hana chakula jua huyo ni mgonjwa wa akili tu , ambae nae ameona akanywe pombe , hapo tatizo sio pombe.
 
Huyo alofanya vitimbwi kwenye sherehe ya kazin na kwa majiran ndo wewe halisi.. Utakiwi kujikataa

ngoja nisome thread huku nashushia kisichana changu..
 
  • Kicheko
Reactions: al1
Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani,

Tutaonana wakati mwingine
🤣🤣
 
Back
Top Bottom