makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,022
- 104,630
Hujawahi kuangusha gari, wahuni wakakugongea yai?
Cc. Intelligent businessmanAlcohol free since January 1 2024.
Shimo kivipi?Mungu akusaidie utoke kwenye shimo hilo
kulanduka sio poa😆Aseme kumradhi nililewa boss , hata sheria inatambua habari za kulanduka sio poa
Tukupe ubalozi wa kuitangaza nyagiNimepiga mitikasi yangu nipo hapa napiga konyagi ndogo moja NIMECHANGANYA NA BITTER LEMON inanitosha Sanaa THEN NYUMBANI.
Yatamkuta ya Chacha na Meneja wa GPSA Tabora aitiwe waandishi wa Habari.Aseme kumradhi nililewa boss , hata sheria inatambua habari za kulanduka sio poa
Ulipoteza ubingwa?Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani,
Tutaonana wakati mwingine
Huyu anazingua mkuuNaita jopo langu.
min -me
Harmful
Monetary doctor
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Na wadau wengine woteeee KARIBUNI tuokoe jahazi..
Pombe haijawahi maliza pesa bwasheeTeh teh tehee teehee!! Kwani nayo inamaagano??, Au mikataba ya kinyonyaji kama ya akina kall peters!!?
Sio unarudi chamani wewe sema hangover imekata tucomment zenu zimenipa moyo sana wadau, bas narudi chamani
Kasharudi mbonaKwani uliambiwa pombe ni maji
Na bado usipoacha ipo siku utarudi hapa hapa ,si tupo tunakungoja