Leo rasmi naacha pombe, imenidhalilisha tena

Leo rasmi naacha pombe, imenidhalilisha tena

Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani,

Tutaonana wakati mwingine
Mimi nimeshwahi mkwida manager wangu kwenye pombe sema ni msauzi sio mbongo ila siku mbili kazini tulikutana kila mtu anamcheka mwenzake japo yeye alikuwa anakunywa soda tu ila mimi nakula captain morgan.

Masuala ya pombeni yaachwe pombeni

No Reforms no Election
 
Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani,

Tutaonana wakati mwingine
Pombe huwa haiachwi hivi mkuu, pombe huachwa kwa maamuzi tu binafsi ya mtu ila visababu kama hivi huwa havidumu kichwani so ukisahau utaona Kila kitu kipo normal na utarudi kwenye game😅😅
 
Back
Top Bottom