Leo ninepigwa roba ya mbao na Panya Road

Leo ninepigwa roba ya mbao na Panya Road

msukule mzembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
296
Reaction score
375
Mimi nakaa kipati. Juzi katika shughuli zangu maeneo ya Mbagala Rangi Tatu nikasema ngoja niende kwanza stand kuu nikanunue mazaga zaga ya kula ili bachela mimi nije kula geto.

Ile kufika tu nikanunua mazaga yangu ya kumwaga hadi hela nilizoenda nazo zote nikaishiwa.

Nikaanza safari yangu kutoka rangi tatu hadi kipati kwa mguu ila nikasema ngoja nipite mitaani njia za shortcut, kupita vikona kona nikakutana na vikundi vya watoto watoto wanabishana. sema nilikua na mishe zangu sikuwatilia maanani ile napita walivyoniona mmoja wao akanifata akaniambia bro nitoe mia. nikamwambia kwa hapa sina akatokea mwingine akaniambia mbona unapita sehem za alafu sisalimii ile nataka kumjibu nikashitukia roba la mbao tayari hadi siwezi kufurukuta ikabaki napiga kelele huku sauti haitoki macho yashakua makubwa mikono inazunguka tu.

Wakanipora mazaga zaga yangu niliyoyanunua wakanipiga kinyama mtu mzima mimi na mindevu yangu. mmoja akatoa kisu akataka kunichoma ila ashukuriwe mwenzao anaitwa mohamed ndo akamzuia ila yeye akatoa wazo wanipake mafuta nilivyosikia hivyo sikuamini macho yangu[emoji27][emoji27][emoji27]

Mohamed akamwambia mwenzake anaitwa Yohana akanunue mafuta. na wengine wanibebe wanipeleke kwenye jumba bovu. sijui nilipata nguvu wapi nilikimbia kama mwehu yani[emoji22][emoji22][emoji22][emoji26][emoji26]

Nilivofika geto ikabidi nianze kujicheka tuu kwa yaliyonikuta ila kwa nini haya mambo yamekuja sanaa kipindi kama watoa figo, watekaji watoto, hamza na panya road na mbwa mwitu wamefufuka kwa spidi mwaka huu

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji24]
 
Kwa hii trend ya matukio ya panya road siku hizi,wacha tu nianze kurudi kwenye mazoezi makali ya martial arts

Siku tukikutana kwenye 18 na hao watoto na mapanga Yao atajulikana Nani bwana butcher na Nani atakuwa kitoweo..Hakuna namna sasa

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
😀😀😀😀😀😀 kwamba wakupake mafuta
 
Hili kundi la Vijana, huenda Ktk kupambana nalo , mawazo ya haraka haraka ni "Wachomwe moto tuuu, wapigweee ,wauwawe n.k"


Lkn ukiwatizama Hawa Vijana ni miaka Kati ya 15--24.



Rais Magufuli , Alipambana sana na Madawa ya kulevya yote Kwa aina zake !!!


Rais Magufuli, kupitia Aiyekua Mkuu wamkoa Paul Makonda, walihakikisha Wajane wote walokimbiwa na waume zao, walotekezwa wanapata haKi zao.


Rais Magufuli kupitia Aliyekua Mkuu wa Mkoa Paul Makonda, waliwawajibisha kisheria wale wanaume walokimbiwa majukumna kutelekeza na kuzalisha ovyoovyo


Rais Magufuli Kipenzi Cha Hawa Vijana Wanyonge, alihakikisha Jeshi la Polisi inafanya kazi Masaa 24, licha ya kutowaongeza Mishahara, Polisi walipewa nguvu, Moyo, na Uhuru wa kutumia weledi wao Kwa kuelimisha na kutumia nguvu palipohitajika.




Nyie Wanaume wa Dar, mkiongozwa na Makala, na Mama,. Jitafakarini,,,kwann haya hayakuwepo wakati wa Chuma JPM????
 
Hili kundi la Vijana, huenda Ktk kupambana nalo , mawazo ya haraka haraka ni "Wachomwe moto tuuu, wapigweee ,wauwawe n.k"


Lkn ukiwatizama Hawa Vijana ni miaka Kati ya 15--24.



Rais Magufuli , Alipambana sana na Madawa ya kulevya yote Kwa aina zake !!!


Rais Magufuli, kupitia Aiyekua Mkuu wamkoa Paul Makonda, walihakikisha Wajane wote walokimbiwa na waume zao, walotekezwa wanapata haKi zao.


Rais Magufuli Kipenzi Cha Hawa Vijana Wanyonge, alihakikisha Jeshi la Polisi inafanya kazi Masaa 24, licha ya kutowaongeza Mishahara, Polisi walipewa nguvu, Moyo, na Uhuru wa kutumia weledi wao Kwa kuelimisha na kutumia nguvu palipohitajika.




Nyie Wanaume wa Dar, mkiongozwa na Makala, na Mama,. Jitafakarini,,,kwann haya hayakuwepo wakati wa Chuma JPM????
Mkuu jf ni marufuku kumsifia magufuli Kwa lolote,maana tulikubaliana hakuwa na jema lolote ,km Unabisha subiri waje uone watakavyokushambulia na kukutukana

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Huo mdalasini uliobaki, utautumia kutengenezea pilau la Eid
 
Tunaomjua huyu bwana hatupati nae shida.
 
Mimi nakaa kipati. Juzi katika shughuli zangu maeneo ya Mbagala Rangi Tatu nikasema ngoja niende kwanza stand kuu nikanunue mazaga zaga ya kula ili bachela mimi nije kula geto.

Ile kufika tu nikanunua mazaga yangu ya kumwaga hadi hela nilizoenda nazo zote nikaishiwa.

Nikaanza safari yangu kutoka rangi tatu hadi kipati kwa mguu ila nikasema ngoja nipite mitaani njia za shortcut, kupita vikona kona nikakutana na vikundi vya watoto watoto wanabishana. sema nilikua na mishe zangu sikuwatilia maanani ile napita walivyoniona mmoja wao akanifata akaniambia bro nitoe mia. nikamwambia kwa hapa sina akatokea mwingine akaniambia mbona unapita sehem za alafu sisalimii ile nataka kumjibu nikashitukia roba la mbao tayari hadi siwezi kufurukuta ikabaki napiga kelele huku sauti haitoki macho yashakua makubwa mikono inazunguka tu. wakanipora mazaga zaga yangu niliyoyanunua wakanipiga kinyama mtu mzima mimi na mindevu yangu. mmoja akatoa kisu akataka kunichoma ila ashukuriwe mwenzao anaitwa mohamed ndo akamzuia ila yeye akatoa wazo wanipake mafuta.
nilivyosikia hivyo sikuamini macho yangu[emoji27][emoji27][emoji27]

Mohamed akamwambia mwenzake anaitwa Yohana akanunue mafuta. na wengine wanibebe wanipeleke kwenye jumba bovu. sijui nilipata nguvu wapi nilikimbia kama mwehu yani[emoji22][emoji22][emoji22][emoji26][emoji26]

Nilivofika geto ikabidi nianze kujicheka tuu kwa yaliyonikuta ila kwa nini haya mambo yamekuja sanaa kipindi kama watoa figo, watekaji watoto, hamza na panya road na mbwa mwitu wamefufuka kwa spidi mwaka huu

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji24]
Cc babukijana nakumbuka ule mkwara wako ulivyopigwa roba
 
Kwahyo ulipigwa na madogo hadi kukaribia kupakwa mafuta,
Lakini simu hawakuchukuwa.

Basi kama hawakukupora simu,
Inamaana hilo la kupakwa mafuta lilishatia mkuu.

Usitufanye mazuzu.
 
Duh kwa hiyo sasa hivi wameamua hadi kuwakula kimasihara...kazi mnayo wakazi wa Dar🐒
 
Mleta mada hii ni chai kavukavu.
Lakini hao vijana wakikamatwa naagiza watolewe bikra zao chap kwa haraka (kufumba na kufumbua)
 
Kwahyo ulipigwa na madogo hadi kukaribia kupakwa mafuta,
Lakini simu hawakuchukuwa.

Basi kama hawakukupora simu,
Inamaana hilo la kupakwa mafuta lilishatia mkuu.

Usitufanye mazuzu.
nashukuru nilitoka bila simu siku hiyo
 
Back
Top Bottom